Dkt. Magufuli anatumia nguvu kubwa mnoo kukampeni

Asaiv kaanza kutuma sms za promotion za ccm kwenye namba za watu kama zile za biko sport na 3 mzuka bila ridhaa zao..
.....Mzee anatapatapa sana, Si alidai hapangiwi na mitandaoni alisemaga hakuna wapiga kura ni watu wa porojo tu, lakini asaiv Twitter na Local network providers wamekua muhimu kwake
Atulie tumnyoe,
 
Ni kubwa ndio maana anapanda hadi mitumbwi badala ya kivuko cha serikali kwenda kisiwa cha ukerewe.
Ulitaka apige mbizi? Make hapo ndio angetumia nguvu kubwa ndugu, Lakini ushasema alipanda mtumbwi kwaio hakutumia nguvu kubwa ila alitumia alternative way ya usafiri!
....... Alafu unaposema kivuko cha serikali una maana gani? Mimi ninavyojua serikali ni viongozi tuliowachagua pamoja na raia wake wakazi halisi wa nchi hii yaani mimi nawewe ni sehemu ya serikali hii, hivyo hata hicho kivuko ni mali ya nafsi zote 3 yaani Yangu, Yako na Yeye (Lissu, Mbowe, Meko, Bashiru & Slowslow)...
........ Kwaio usilete ubinafsi kwenye mali za Umma!
 
Wafuasi wa CCM kinywani huamini kwamba JPM kagusa maisha ya waTZ kwa kusaidia kuboresha maisha yao, ila mioyoni huona kabisa maisha ya mTZ yamekosa uelekeo ndani ya kipindi kifupi...

Kudhihirisha hilo nguvu inayotumika kupiga kampeni za JPM ni kubwa mnoo haireflect kabisa kukubalika kwake, kuanzia mabango, kutumia wasanii wote TZ, kuhujumu kampeni za vyama vingine, kuengua wagombea wa upinzani baadhi ya majimbo...

Kwa ninayoona endapo uchaguzi utakuwa huru na haki JPM hakika kura hazitatosha na wanajua hilo....
JPM days are numbered sio uongo.....
 
Kama ilivyotumika nguvu kubwa 2015 ya kumchukua Lowassa na vyama kuungana,maana kweli wananchi wameichoka ccm na kwamba kila uchaguzi ccm huwa inashindwa kwenye sanduku la kura ila inatumia mabavu na kuiba kura,sasa kulikuwa na haja gani ya kumleta Lowassa na kuungana kwa vyama?
 
Kuogelea ni starehe hautumii nguvu kubwa
....Endelea kujifaragua na wewe kajambanani unayeokota makopo barabarani ili ule ni sehemu ya serikali inayofanya maisha yao kwa kodi zetu,kalaghabao.
Ulitaka apige mbizi? Make hapo ndio angetumia nguvu kubwa ndugu, Lakini ushasema alipanda mtumbwi kwaio hakutumia nguvu kubwa ila alitumia alternative way ya usafiri!
....... Alafu unaposema kivuko cha serikali una maana gani? Mimi ninavyojua serikali ni viongozi tuliowachagua pamoja na raia wake wakazi halisi wa nchi hii yaani mimi nawewe ni sehemu ya serikali hii, hivyo hata hicho kivuko ni mali ya nafsi zote 3 yaani Yangu, Yako na Yeye (Lissu, Mbowe, Meko, Bashiru & Slowslow)...
........ Kwaio usilete ubinafsi kwenye mali za Umma!
 
Hakuna ushetani Hatari kama ule ujinga wa kule majimboni kuwa miccm imepita bila kupingwa, kupita bila kupingwa kwa njia haramu za kishetani ndiyo kitu kibaya zaidi Duniani kwani mtu atakuwa mbunge pasipo ridhaa ya wapiga kura anaenda Bungeni kuwakilisha nani? hawakumchagua anaenda kuwakilisha NECCCM Tumeccm na aina hii ya wabunge ndiyo hupitisha mikataba mibovu kwa kura za ndiyoo ndiyo na wengine huwa kimya wakivuna posho kisha kurudi nyumbani kulala , wabunge wa kupita bila kupingwa ndiyo wabunge wanaotumika kuhujumu wapinzani wakiwa Bungeni
Tena kama Misungwi tuna hasira sana na ccm. Tumeuimia sana kuondoa wagombea wetu wote kihuni na kibababe kuanzia ubunge na madiwani.Yaani jimbo lenye wasomi wengi kuongozwa na mbumbumbu wahuni.
 
Hivi mnasimamia upande gani?? Nyie si ndo mnasema magu anafanya kampeni siku moja anapumzika wiki leo tena anatumia nguvu sana hahahahaaha mna wenge sana ni waite mashabiki wa chadema maana sio wapiga kura.
Soma madam uelewe anatumia nguvu zake kivipi kuwashawishi wapiga kura?

Mabango mpaka kwenye vyoo vya stand amechafua Kila mahali.

Haki huinua TAIFA
 
Kuogelea ni starehe hautumii nguvu kubwa
....Endelea kujifaragua na wewe kajambanani unayeokota makopo barabarani ili ule ni sehemu ya serikali inayofanya maisha yao kwa kodi zetu,kalaghabao.
Endelea kujipa moyo....
 
Wafuasi wa CCM kinywani huamini kwamba JPM kagusa maisha ya waTZ kwa kusaidia kuboresha maisha yao, ila mioyoni huona kabisa maisha ya mTZ yamekosa uelekeo ndani ya kipindi kifupi...

Kudhihirisha hilo nguvu inayotumika kupiga kampeni za JPM ni kubwa mnoo haireflect kabisa kukubalika kwake, kuanzia mabango, kutumia wasanii wote TZ, kuhujumu kampeni za vyama vingine, kuengua wagombea wa upinzani baadhi ya majimbo...

Kwa ninayoona endapo uchaguzi utakuwa huru na haki JPM hakika kura hazitatosha na wanajua hilo....
Kwani nani anatumia nguvu ndogo? Vita ni vita Mura
 
Asilimia zake 58 za mwaka 2015, safari hii zingeshuka mpaka kufikia 18%! Tangu lini ndege zikapiga kura!!
 
Wafuasi wa CCM kinywani huamini kwamba JPM kagusa maisha ya waTZ kwa kusaidia kuboresha maisha yao, ila mioyoni huona kabisa maisha ya mTZ yamekosa uelekeo ndani ya kipindi kifupi...

Kudhihirisha hilo nguvu inayotumika kupiga kampeni za JPM ni kubwa mnoo haireflect kabisa kukubalika kwake, kuanzia mabango, kutumia wasanii wote TZ, kuhujumu kampeni za vyama vingine, kuengua wagombea wa upinzani baadhi ya majimbo...

Kwa ninayoona endapo uchaguzi utakuwa huru na haki JPM hakika kura hazitatosha na wanajua hilo....
Fisiemu kwa herini muwasalimie akina kanu
 
Hakuna ushetani Hatari kama ule ujinga wa kule majimboni kuwa miccm imepita bila kupingwa, kupita bila kupingwa kwa njia haramu za kishetani ndiyo kitu kibaya zaidi Duniani kwani mtu atakuwa mbunge pasipo ridhaa ya wapiga kura anaenda Bungeni kuwakilisha nani? hawakumchagua anaenda kuwakilisha NECCCM Tumeccm na aina hii ya wabunge ndiyo hupitisha mikataba mibovu kwa kura za ndiyoo ndiyo na wengine huwa kimya wakivuna posho kisha kurudi nyumbani kulala , wabunge wa kupita bila kupingwa ndiyo wabunge wanaotumika kuhujumu wapinzani wakiwa Bungeni
Sipati picha ya akina KalaMaganda na yule mwenzake kichaa wa Kongwa wakiwa bungeni kwa njia ya cheee halafu wasiwe na kiti cha urais. Hata ma-CCM wenzao waliopata nafasi zao kwa jasho watakuwa wanawadharau hawa!
 
Kweli anatumia gharama kubwa sana,hata Mimi huwa najiuliza MTU amejenga fly over,sgr na japo ukweli ni kwamba anatumia kodi zetu kujenga ikiwamo na uwanja wa ndege chato kijijini kwao,lakini bado anatumia nguvu kubwa kuhujumu wapinzano
 
Wafuasi wa CCM kinywani huamini kwamba JPM kagusa maisha ya waTZ kwa kusaidia kuboresha maisha yao, ila mioyoni huona kabisa maisha ya mTZ yamekosa uelekeo ndani ya kipindi kifupi...

Kudhihirisha hilo nguvu inayotumika kupiga kampeni za JPM ni kubwa mnoo haireflect kabisa kukubalika kwake, kuanzia mabango, kutumia wasanii wote TZ, kuhujumu kampeni za vyama vingine, kuengua wagombea wa upinzani baadhi ya majimbo...

Kwa ninayoona endapo uchaguzi utakuwa huru na haki JPM hakika kura hazitatosha na wanajua hilo....
Hakuna mtu anataka hata kumuona
 
Back
Top Bottom