Alwatan Mabruki
Senior Member
- Sep 20, 2020
- 132
- 116
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.
Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa anafanya mkutano wa kampeni mjini Karatu.
Ndugu mtanzania, mpenda maendeleo, ili tudumishe Amani yetu tunahitaji kiongozi sahihi mwenye kujali maslahi ya Mtanzania na rasilimali zake, mwenye hofu ya mungu, muajibikaji na mtekelezaji.
Tafadhali tuungane pamoja Jumatano Oktoba 28, Tukapige kura na tukamchague Rais ambae ataendelea kusimamia na kuzitetea rasilimali zetu.
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CHAGUO SAHIHI KWA WATANZANIA✅