Sijui naye sauti zitakatwa? Sijui wananchi wanyonge watasombwa kwenye malori?
Sijui leo vijembe vitasalimika?
Sijui leo mama zetu watadhalillishwa tena?
Sijui leo....!!??

Hapana yy Ana haki ya kusema lolote kwa mtu yeyote so hawawez kukata
 
Akiongea uchochezi napendekeza akatiwe matangazo. Wafuasi wa mabeberu hawana nafasi kwa Tanzania ya Makonda.
 
Mbona kama viongozi wa Tume huru wanatetemeka.Hivi na cha cha NLD au CHAUMA watumishi wa tume huru huwa wanawatetemekea hivi.
 
Atakavyoongea aongelee jinsi ya kuwakomboa wananchi na umasikini. Jinsi ya kuboresha maslahi ya watumishi, mikopo vyuo vikuu, ajira nk. Miundo mbinu tupa kulee....aje na hoja ya maisha ya mtanzania anayekula mlo mmoja
Hata asipotekeleza ahadi zake utamfanya nini?

Milioni 50 kila kijiji zipo wapi? Utamdai?
 
Akihutubia umati wa wanachama na wajumbe wa CCCM Dr, Bashiru Ally ameweka wazi kuwa Raisi Magufuli siyo king'ang'anizi kwa sababu huu ni muhula wake wa mwisho kama mwenyeiti wa chama na Rais wa Jamhuri iwapo akishinda maana anafuata nyayo za Nyerere hawezi kuwa Rais wala mwenyekiti wa chama wa kudumu.

Nadhani hii ni messege kwa wale wote waliokuwa wana mpango wa kutaka kubadilisha katiba kumuondolea ukomo.
 
Akihutubia umati wa wanachama na wajumbe wa CCCM Dr, Bashiru Ally ameweka wazi kuwa Raisi Magufuri siyo king'ang'anizi kwasababu huu ni muhura wake wa mwisho kama mwenyeiti wa chama na raisi wa Jamhuri iwapo akishinda maana anafuata nyayo za Nyerere hawezi kuwa raisi wala mwenyekiti wa chama wa kudumu.
Nadhani hii ni messege kwa wale wote waliokuwa wanampango wa kutaka kubadilisha katiba kumwondolea ukomo.
Anaongea tu, anajua kilicho moyoni mwa Jiwe? Hata Idd Amin alisema ataitisha uchaguzi ndaniya mwaka mmoja. Alijitangaza Rais wa Maisha na vyeo vyote vya duniani na kuzimu. Akaondolewa na Jeshi vinginevyo mpaka leo angelikuwepo. Museveni, kagame < Mugabe and many more others walitoa kauli kama hizo !
 
Ngoja tuone.

Mtendaji mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ametangaza kuwashwa rasmi kwa mitambo ya maangamizi kuelekea uchaguzi mkuu.

Bashiru amesema heri yake Mrema na Cheyo kwa kuzisoma alama za nyakati.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hilo lipo wazi kwani Bashiru yeye alifikiria nini?

Magufuli binafsi analijua hilo na ameshasema mara nyingi tu ataondoka baada ya kumaliza muda wake.
 
Yaani naangalia wananfunzi wanashangilia,wakati wakimaliza shule ajira hakuna. Vijana hawa jamani wanajielewa kweli ????Mimi ningekuwa mwananfunzi chuo nisingeenda kwenye huu ujinga.

Back to the thread. Usidanganyike hapo ni mbinu za kutaka kura tu.Akishinda ndo tutajua mbeleni. Tuombe uzima.
 
Anaongea tu, anajua kilicho moyoni mwa Jiwe? Hata Idd Amin alisema ataitisha uchaguzi ndaniya mwaka mmoja. Alijitangaza Rais wa Maisha na vyeo vyote vya duniani na kuzimu. Akaondolewa na Jeshi vinginevyo mpaka leo angelikuwepo. Museveni, kagame < Mugabe and many more others walitoa kauli kama hizo !
Sidhani kama anaweza kuwa na guts za kuongea hivyo kama mwenyekiti wake hajazungumz naye, maana watu wanaongea kile kinachomfurahisha mwenyekiti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom