Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

Walevisana... I recall my former chemistry teacher from Russia ..but good upstairs academically
 
IMG-20171118-WA0054.jpg
IMG-20171118-WA0053.jpg

Amelipia bima leo
 
Huyu jamaa kama ni kweli JPm amchukue amletee wakemia wengine wafungue kiwanda cha mbolea maana ana experience kubwa sana inavyoelekea
 
Tangu siku ya kwanza kutokea tukio niliweka mashaka mengi sana. Niliamua kufuatilia story zake kila ninapoona imewekwa kuna jambo kubwa lipo nyuma yake huyu mzee.
 
Nakubaliana na wewe. Dr kuna kitu hajakisema na hajakiweka wazi.

1. Alipata wapi mtaji wa kuanzisha a very successful business within a short period of time baada ya kumaliza shule?

2. Ilikuaje ubalozi wa marekani wajihusishe kumtorosha kutoka urusi tena kwa ndege ya malkia wa uholanzi hadi Armsterdam na kisha kuja Dar kama anavyosema.

3. Baada ya kufika hapa nchi alipata wapi nauli ya kumpeleka Malaga Hispania na akaweza kuishi huko kwa miaka 8 hafi aliporudi nchini mwaka 2013.

4. Kwa nini baada ya kutoroka toka Urusi bado amekua na wasiwasi kua warusi watamtafta popote alipo wamuue, wasiwasi wake ni wa nini? Kweli vibaka wanaweza kukufuatilia hadi nje ya nchi wakuue?!

5. Anasema warusi wana chuo cha kufundisha jinsi ya kuua, tena anataja KGB ambayo ni taasisi ya serikali, je alitekwa na KGB au alitekwa na vibaka, vibaka gani wanaweza kusomea chuo kikuu jinsi ya kuua mtu na jinsi ya kumtesa?

6. Anasema hataki kuwasiliana na mke wake wasije kumtambua alipo, kwamba simu zote zinarekodiwa ziazotoka nje, hao ambao anahofu kua watamjua alipo ni wale vibaka waliomteka au watu wengine, vibaka wanawezaje kurekodi au kuingilia mawasiliano ya watu toka nje ya nchi?

7. Dr alikimbilia hispania ili kupoteza ushahidi wa uwepo wake, kisha akarudi Tanzania ili kuwapoteza tena kama wanadhani yuko hispania, ni kina nani hao ambao dr anawakimbia kiasi hicho, wale vibaka waliomteka au wengine?

Dr ana kitu hataki kukisema. Kuna kitu kimejificha nyuma yake.

Zaidi Dr ni loser, huwezi kwenda kusoma ukalowea huko ukasahau hata wazazi wako.
Umenifilisi
 
All are speculations! Kuna watu wengi walibaki Russia Mara baada ya masomo miaka ya 1990 na sasa hata nauli yankurudi hawana. Miongoni mwa hao ninaowasema ni marafiki zangu niliosoma nao Azania, kwingineko na hata niliokuwa nao JKT - Oljoro na HQ. Na baadhi ya hao ninaowasema, kama Daktari Shija, waliwahi kupigwa na kufikisiwa na majambazi, ambao kabla ya kusambaratika kwa himaya ya Urusi (USSR) walikuwa mashushushu wa KGB. Serikali ya 'Russia mpya' iliposhindwa kuwalipa wali-resort kuwa majambazi na double agents wa US na oligarchs. Hiyo ndio inaweza kuwa plight iliyomkumba huyu Daktari Shija mnunuzi wa nyumba za Lugumi.
 
Back
Top Bottom