Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Dr. Luis Shika Natoa Milioni 1.5$ Za Kimarekani Kila Mwaka Shinyanga Wilayani Kahama
BongoPrideTV
 
Lkn sasa mbona watu wanachekacheka kila wamuonapo au atuapo mahali...ila ngoja zile sandle zake hazitamuacha mtu salama kwa wanapenda kuselfie nae
 
Ndio kusema kuwa Dokta hana kabisa Viatu...
Na ana nguo pair mbili tu?? Ama kaamua muda wote kuvaa hivo kama Identity yake
 
Dr. Luis Shika Natoa Milioni 1.5$ Za Kimarekani Kila Mwaka Shinyanga Wilayani Kahama Tazama
 
Bora ukae kimya mkuu maana ungepata kuona na kusikia aliyoyalonga ungekimbia kujificha ukaona elimu yako si lolote.

Huyu jamaa ni intelligent no matter how his current situation seems to embarrass you bro.
Natamani kujua alichoongea mkuu
 
Hana kadi ya chama chochote ili aingie kinyang'anyironi, then achukue jimbo Singida au Songea? Wenye vyama vyenu, mtumieni huyo kuhakikisha mnapata muwakilishi, hahitaji gharama kubwa kumfanyia kampeni, na kwake ushindi ni lazima.
 
kwa mambo kama haya ndipo utapogundua ni jinsi gani itakuwa vigumu kwa Watanzania kumng'oa mkoloni mweusi CCM.

ni nchi iliyosheheni a bunch of jokers.... CCM wanalijua hili na wana-capitalize kisawasawa.

kuing'oa CCM kunahitaji watu wachache wajitoe ufahamu halafu.......bang!

kama Zimbabwe vile. nani alitegemea Mugabe angeondoka madarakani leo kama si kwa watu wachache kujitoa ufahamu??
Panua fikra zako,mipango ya watu wengine huwezi kuifahamu kama unamawazo mgando,usilaumu watanzania utakuwa unapigana na upepo...kuing'oa au kutoing'oa CCM kuna uhusiano gani na kualikwa Dr Luis katika mahafali?Usichanganyikiwe mkuu..pambana na hali yako
 
Back
Top Bottom