Dkt kinyozi sasa ni wakati wa kugeuza wembe upande wa pili uwatoe vipara kabisa

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
13,344
14,815
Wamenyooka walikuwa wanabadili magari kuja maofisini kama kuna maonyesho,ilikuwa fasheni kwenda kutibiwa india,hao watu wa upinzani walikamata tenda kwenye makampuni makubwa wakafanya ufisadi jioni wanapanda majukwaani na kuinanga serikali huku wanasahau kama wao ni wamoja wa kuifilisi nchi

Ilikuwa mtu mmoja anapokea mishahara ya watu sita hewa,hapa uliposema siasa majimboni uliwakosha watu wengi maana mikutano ilikuwa kila kona watu hawafanyi kazi,lakini sasa wamenyooka kila mmoja anaongea na wapiga kura wake jimboni kwake.

Hatuna vyama vipya wala wanasiasa wapya njaa inayowatambaa nani atasimama kupiga gumzo wakati mifuko ni mitupu kila mmoja anawajibika sasa hongera sana kinyozi.

Kifupi umewabana wacha wakuite mshamba hilo linajulikana silaha ya aliyeshindwa ni matusi na mawe,

Baba kinyozi wanaolalamika na kulia ndio wale wale malaika hivi sasa wamegeuka mashetani wakemee na uwachome!

Ni wakati wa kugeuza wembe upande wa pili sasa wamenyooka hawafugi nywele ndefu tena!
 
Ni hatua nzuri nidhamu ya kazi, japo ni vyema tukawa na mifumo na taasis imara kwa checks and balance. Dunia ya leo ni dhambi kumtumainia mwanadamu.
 
Njaaa inakutafuna mpaka kwenye ubongo
Wamenyooka walikuwa wanabadili magari kuja maofisini kama kuna maonyesho,ilikuwa fasheni kwenda kutibiwa india,hao watu wa upinzani walikamata tenda kwenye makampuni makubwa wakafanya ufisadi jioni wanapanda majukwaani na kuinanga serikali huku wanasahau kama wao ni wamoja wa kuifilisi nchi

Ilikuwa mtu mmoja anapokea mishahara ya watu sita hewa,hapa uliposema siasa majimboni uliwakosha watu wengi maana mikutano ilikuwa kila kona watu hawafanyi kazi,lakini sasa wamenyooka kila mmoja anaongea na wapiga kura wake jimboni kwake.

Hatuna vyama vipya wala wanasiasa wapya njaa inayowatambaa nani atasimama kupiga gumzo wakati mifuko ni mitupu kila mmoja anawajibika sasa hongera sana kinyozi.

Kifupi umewabana wacha wakuite mshamba hilo linajulikana silaha ya aliyeshindwa ni matusi na mawe,

Baba kinyozi wanaolalamika na kulia ndio wale wale malaika hivi sasa wamegeuka mashetani wakemee na uwachome!

Ni wakati wa kugeuza wembe upande wa pili sasa wamenyooka hawafugi nywele ndefu tena!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom