Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 916
- 2,634
TANZIA
Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.

Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo mkoa wa Dodoma Dkt. Kinabo amefariki dunia leo katika hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo UDOM Dodoma. Sababu ya kifo Bado haijaelezwa
Tunatoa pole kwa familia na wakazi wa Dodoma. Dkt. Kinabo pia alikuwa ana hospitali yake maeneo ya uhindini ambapo alikuwa akitoa huduma bora sana za moyo.