Dkt. Kimei: Wizara za Kilimo na Viwanda kupewa 6% ya bajeti will never work. Ukusanyaji mapato ni mdogo, au huenda GDP ya Tanzania iko overstated

February 10, 2021
Dodoma, Tanzania

Serikali yafuta Shughuli za maonyesho ya Nanenane​

Serikali imeamua kufuta sherehe / maadhimisho ya NaneNane . Fedha yote itapelekwa kugharamia shughuli za maofisa ughani na utafiti ili wizara ya kilimo iweze kugusa sekta ya kilimo kwa mguso mkubwa mwaka huu wa fedha 2021/22.

Mbali na hatua hiyo pia wizara ya Kilimo imelenga kuomba fedha za ziada wizara ya fedha ili kuiinua sekta ya kilimo ya vijijini na sekta binafsi mwaka huu.
 
Shida sio ukusanyaji Mdogo,shida unakusanya toka wapi? Kama umekausha mito ikuleteayo maji ziwani (kusomeshwa namba) eti unawanyoosha binadamu wenzio hayo makusanyo yatoke wapi?
Pili kanuni ya Kodi ilivyo ukitoza Kodi kubwa ni lzm utakusanya kidogo.
Coz walipa kodi na walinda sheria ya Kodi wataungana kupeana mbinu za ukwepaji Kodi,hii ni kanuni.
 
Nauliza kuongezeka kwa deni la taifa kunatokana na nini wakati MIRADI MIKUBWA INAJENGWA KWA PESA ZA NDANI????
 
.. MakinikiA umemtuhumu Dr.Kimei kutokutoa gawio, lakini hapa kuna taarifa za mwaka 2011/12 za CRDB kutoa gawio kwa wanahisa wake.

CRDB KUTOA GAWIO

Benki ya CRDB inatarajia kutoa gawio la shilingi bilioni 19 kwa wanahisa wake kwa kipindi cha mwaka 2011- 2012 kama sehemu ya faida ya shilingi bilioni 37 ambazo benki imepata kwa kipindi hicho.

Mkurugenzi mtendaji wa benki ya CRDB Dkt Charles Kimei alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha alipokuwa akitoa taarifa za awali kuhusu mkutano mkuu wa 17 wa wanahisa tangu kubinafsishwa toka mikononi mwa serikali mwaka 1996.

Aliongeza kuwa pamoja na masuala mengine wanahisa watapewa taarifa ya mahesabu ya biashara ya mwaka uliopita unaoishia 2011 na kuwapa taarifa za maendeleo ya benki.

Dkt Kimei alifafanua kuwa benki hiyo inakila sababu ya kutoa sehemu ya faida kwa wanahisa wake kwakuwa mtaji wa benki hiyo umepanda na CRDB ndiyo benki yenye mtaji mkubwa kuliko benki nyingine hapa nchini.

Aidha aliwataka Watanzania kutambua umuhimu wa kuwa na hisa kwani wengi wameonekana kukosa mwamko na nafasi yao kuchukuliwa na watu wa nje baada ya watanzania kuonekana kuwa hawatambui umuhimu wa kumiliki hisa.

“Watu wengi wamekuwa wakiuza hisa mtaani kwa bei ya hasara jambo ambalo linasababisha kushuka kwa thamani za hisa na kutofikia malengo waliojiwekea wakati wakinunua hisa” alisema Dkt Kimei.

Aliongeza kuwa mkutano huo utafuatiwa na semina kwa waandishi wa habari ambayo itafanyika jijini Dar-es-salaam yenye lengo la kuwapa ufahamu wanatahaluma hao ili kutambua kazi za benki hiyo na namna inavyotoa huduma kwa wateja wake wanaoiwezesha benki kufikisha mtaji wa zaidi ya shilingi bilioni 250 hadi sasa.

cc Naantombe Mushi
 
Watu waliokuwa wanamoinga Jiwe wdliyajua haya mapema wakawahadhalisha kwdmba mnayemsukumiza Ni saikatriki kesi hata mama yake mzazi aliwaambia kwa ujuaji wa CCM mkampinga matokeo yake ndio haya Sasa the country is in turmoil .
 
Sidhani kama unachokisema kipo sahihi.

Kuna kitu ambacho Kimei amekinena ambacho ndiyo uhalisia - uchumi wetu umekuwa overstated. Tunapika data ili tuonekane tumefanikiwa sana. Mwishoni mambo yanagoma, utapeli wa kutengeneza data ili tusifike, unakuwa wazi - numvers do not tie up.
Sio kila kitu atakachokwambia Kimei ndio sahihi. Wewe mwenyewe unaweza enda kujiridhisha kama hoja zake zina merit.

Target za international lenders (IMF/WD) kwenye ‘Tax to GDP ratio’ kwa nchi maskini ni kufikia 15% na continental average (Africa) kwasasa ni 16.1%.

Tanzania kwa sasa anadai tupo 13.5% well that is not bad then kama target ni 15% ukizingatia kuna sehemu nyingi bado za vyanzo vya kodi serikali aijavigusa.

Anyway yeye ana compare na Kenya anayodai wana ratio ya 23.1% I doubt that. Isitoshe Kenya ina uchumi mkubwa zaidi ya Tanzania so ratio yao inaweza kutuzidi but (not always the case na wala sidhani kama wamefikia hiyo ratio hata ya 20%) or tuone hiyo source.

Pili Kenya wana debt to gdp ratio kubwa ambayo ni alarming so obvious serikali yao itakuwa more aggressive due to their desperate position kwenye makusanyo ya kodi kushinda Tanzania, kuna swala la uelewa wa walipa kodi na willingness ya wananchi pia Kenya wanaweza kuwa mbele yetu.

Sisi kwetu walipa kodi wa kati na chini ndio hawa ata kuandaa accounts zao shida kila siku fines na wanategemea kufanyiwa estimates na TRA (that is just an option otherwise businesses wanatakiwa wa file taxes wenyewe).

Walipa kodi hao-hao ndio unataka uwaanzishie mziki ili uongeze mapato machinga ambae anaipoteza serikali large sums of VAT umkabe shingo atoe risiti ya anapotoa bidhaa zake atapona kweli.

Listen the whole thing is a long story na kuna aspects nyingi za kuangalia including social context ambazo amezi ignore.

Kimei yeye katokea kwenye private institution amezoea maswala earning-per-share, sijui dividend cover ratio; etc with corporate finance kwenye kuwaridhisha share holders wake na revenue zenyewe ni very predictable kwenye banking products wanazouza na mtu aki default unadhamana ya kufidia mapato.

Government don’t work like that. Kwa kifupi ni kwamba hoja ya Kimei ni shortsighted, he should have known better.
 
.. MakinikiA umemtuhumu Dr.Kimei kutokutoa gawio, lakini hapa kuna taarifa za mwaka 2011/12 za CRDB kutoa gawio kwa wanahisa wake.

CRDB KUTOA GAWIO

Benki ya CRDB inatarajia kutoa gawio la shilingi bilioni 19 kwa wanahisa wake kwa kipindi cha mwaka 2011- 2012 kama sehemu ya faida ya shilingi bilioni 37 ambazo benki imepata kwa kipindi hicho.

Mkurugenzi mtendaji wa benki ya CRDB Dkt Charles Kimei alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha alipokuwa akitoa taarifa za awali kuhusu mkutano mkuu wa 17 wa wanahisa tangu kubinafsishwa toka mikononi mwa serikali mwaka 1996.

Aliongeza kuwa pamoja na masuala mengine wanahisa watapewa taarifa ya mahesabu ya biashara ya mwaka uliopita unaoishia 2011 na kuwapa taarifa za maendeleo ya benki.

Dkt Kimei alifafanua kuwa benki hiyo inakila sababu ya kutoa sehemu ya faida kwa wanahisa wake kwakuwa mtaji wa benki hiyo umepanda na CRDB ndiyo benki yenye mtaji mkubwa kuliko benki nyingine hapa nchini.

Aidha aliwataka Watanzania kutambua umuhimu wa kuwa na hisa kwani wengi wameonekana kukosa mwamko na nafasi yao kuchukuliwa na watu wa nje baada ya watanzania kuonekana kuwa hawatambui umuhimu wa kumiliki hisa.

“Watu wengi wamekuwa wakiuza hisa mtaani kwa bei ya hasara jambo ambalo linasababisha kushuka kwa thamani za hisa na kutofikia malengo waliojiwekea wakati wakinunua hisa” alisema Dkt Kimei.

Aliongeza kuwa mkutano huo utafuatiwa na semina kwa waandishi wa habari ambayo itafanyika jijini Dar-es-salaam yenye lengo la kuwapa ufahamu wanatahaluma hao ili kutambua kazi za benki hiyo na namna inavyotoa huduma kwa wateja wake wanaoiwezesha benki kufikisha mtaji wa zaidi ya shilingi bilioni 250 hadi sasa.

cc Naantombe Mushi
gawio kwa mashirika na taasisi za serikali

mashirika na taasisi za serikali ????
 
Dr Kimei bora anyamaze tu kwa sasa,akikosoa kosoa sana,atapewa hiyo wizara then aundiwe zengwe la kushindwa hiyo kaz na adharalilishwe .

Serikali hii huwa haitaki ushauri kiuchumi.
 
Mkuu wacha kuzunguka mbuyu? Kodi ipande au tushushe? Hoja ya Kimei wenzetu kodi yao ipo hadi 23% wakati sisi bado tupo kwenye 13.2%
Kwamba alichoongea huyo jamaa hakina maana kwako! halafu nyie ndio mnakaa na jiwe kwenye meza mnamuongezea ujinga kwamba bila yeye hakuna tz daah

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Acha kukimbilia kutoa shutuma zisizo na ushahidi. Hivi ni kwa nini Uvccm wote akili zenu huwa zinafanana? Kwani huo uwaziri una kitu gani cha ajabu? Jikite kwenye hoja. Alichokisema kina mantiki au hakina?
Hili bunge halitaki watu wenye akili timamu mkuu! unahangaika kuumwelewesha mtu mzima aliyekabidhi akili zake kwa mtu mwingine :p :p
 
Back
Top Bottom