February 10, 2021
Dodoma, Tanzania
Serikali imeamua kufuta sherehe / maadhimisho ya NaneNane . Fedha yote itapelekwa kugharamia shughuli za maofisa ughani na utafiti ili wizara ya kilimo iweze kugusa sekta ya kilimo kwa mguso mkubwa mwaka huu wa fedha 2021/22.
Mbali na hatua hiyo pia wizara ya Kilimo imelenga kuomba fedha za ziada wizara ya fedha ili kuiinua sekta ya kilimo ya vijijini na sekta binafsi mwaka huu.
Dodoma, Tanzania
Serikali yafuta Shughuli za maonyesho ya Nanenane