OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,189
- 103,708
"Majimbo yaliyo mpakani yanakuwa na changamoto kama magendo, unajua wachaga wanapenda magendo, pia kuna unywaji wa gongo, utumiaji wa mirungi na bangi vimekithiri sana Vunjo sababu watu wengi hawana ajira, nahitaji Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ituambie itachukua hatua gani?" -Dk. Kimei