Dkt. Kigwangalla: Tulichongewa tulisimangwa na tulisingiziwa na kunyanyaswa lakini nashukuru Rais Samia ameujua ukweli

Nguseroh

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,124
2,000
Hata kama Jiwe alikuwa muovu na kweli alikuwa lakini Kigangwala, Dungai wasingemsema vibaya kabisa. Jiwe alimgharamikia Kigwa ile ajali aliyomtoa Braza Temba kafara. Pia Jiwe alivunja hazina kabisa kumtibu jobu (mbishi wa kufa). Hapo unajifunza unafiki wa kiwango cha juu kwa watanzania.

Suleiman Kova Sasa hivi anadai na kulalamika akiwapigia polisi wenzake waliopo kazini simu hawapokei anabaki kushangaa WTF!
 
humility21

JF-Expert Member
Jan 8, 2021
410
1,000
Hata kama Jiwe alikuwa muovu na kweli alikuwa lakini Kigangwala, Dungai wasingemsema vibaya kabisa. Jiwe alimgharamikia Kigwa ile ajali aliyomtoa Braza Temba kafara. Pia Jiwe alivunja hazina kabisa kumtibu jobu (mbishi wa kufa). Hapo unajifunza unafiki wa kiwango cha juu kwa watanzania.

Suleiman Kova Sasa hivi anadai akiwapigia polisi wenzake waliopo kazini simu hawapokei anabaki kushangaa WTF!
Kova naye anapatia haya?
 
Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
11,809
2,000
Suleiman Kova Sasa hivi anadai akiwapigia polisi wenzake waliopo kazini simu hawapokei anabaki kushangaa WTF!
Mwambieni Kova polisi walikuwa wafanyakazi wenzake tu siyo ndugu Wala rafiki zake. Kwahiyo asiwalumu kutokupokea siku zake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom