Dkt. Kigwangalla: Rais Samia anaendelea mpaka mwaka 2030, watakaompinga kukiona

ohnoway.png
 
Kigwangalla amesema atakayejaribu kumpinga ndani ya ccm na hata nje atakiona cha mtema kuni
Hivi huyu kiumbe hana faili Mirembe kweli!!!, 7ya na genge lake walianza na kauli za kijigakijinga kama huyu mwisho wa siku yaliyotokea ndiyo hayo!!!

Kauli za vitisho kama hizi hazina afya kabisa kwa taifa, yeye hana mamlaka ya kutoa kauli za kijinga namna hiyo hana haki miliki na nchi hii ni raia kama raia wengine, huyu hajawahi kuwa na akili inayojitegemea
 
Mbunge wa Nzega vijijini Dkt Hamis Kigwangalla leo wakati anachangia hotuba ya bajeti kuu ya serikali amesema rais Samia anatakiwa kupita bila kupingwa mwaka 2025 ili aendelee mpaka 2030.
Kigwangalla amesema atakayejaribu kumpinga ndani ya ccm na hata nje atakiona cha mtema kuni hasa ikizingatiwa kuwa Chadema walishatangaza kuwa hawatashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo Lisu kuendelea kulelewa Ubelgiji.

View attachment 1818634

Umeanza usiye na haya!!!
 
Sikubaliani na tabi hii ya kusifia hovyo ili upate cheo lakini sijaona wapi katamka kuwa wataompinga watakiona cha mtema kuni, hebu acha kutia chumvi taarifa. Najua wewe na gengr lako hamfurahii chochote kuhusu Mama
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Elimu ya Tanzania iangaliwe upya. Huyu hawezi kuwa mtu mwenye elimu ya chuo kikuu.
Hulka ya viongozi wanaopata dhamana ya nafasi za juu kutoka kwa wananchi kujiona sasa wao ndio wakubwa ni kansa mbaya sana.
ikumbukwe huyu HAKUCHAGULIWA na wananchi kwa nafasi aliyonayo sasa, kura zilipigwa kwa sehemu kubwa zikimchagua aliyekuwa anagombea Urais. Ni muhimu ijulikane kuwa bado anawajibika kurudi kwenye mchakato wa kuomba nafasi hiyo kwa ushindani na wengine. Na pia watu wapige kura kumchagua kwa nafasi hiyo kama mgombea ndani ya chama na kisha kama atapita akabiliane na nguvu ya upinzani ili kura za watu ndio ziamue kwa haki na kwa kuwapa wengine nafasi wanazostahili kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa.
Kujipendekeza kwa kutoa kauli zinazokinzana na uhalisia ni aibu kubwa kwa mtu anayeheshimu utu wake.
 
Kigwangala hii ni nin?
Lazima ulazimishe uteuzi??

Aibu sana
Baadae atakuja kuuliza alikosea wapi.
Najiuliza hivi ni nani aliyesema kuwa atampinga 2025?
Nakumbuka hata Mh. Rais Samia alisema kampeni za kuelekea 2025 hazina nafasi kwa sasa.
Hata hivyo si vyema kuwatisha WanaCCM leo 2021,kwani 2025 lolote laweza tokea kwa Maajaliwa ya Mungu.
 
Mbunge wa Nzega vijijini Dkt Hamis Kigwangalla leo wakati anachangia hotuba ya bajeti kuu ya serikali amesema rais Samia anatakiwa kupita bila kupingwa mwaka 2025 ili aendelee mpaka 2030.
Kigwangalla amesema atakayejaribu kumpinga ndani ya ccm na hata nje atakiona cha mtema kuni hasa ikizingatiwa kuwa Chadema walishatangaza kuwa hawatashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo Lisu kuendelea kulelewa Ubelgiji.

View attachment 1818634
Umesoma vizuri bado unajihitaji kulamba miguu ya mtu fulani ili maisha yaende.
Mliojiajiri ndio wasomi wa nchi hii hata kama hamjasoma.
 
Kipindi cha kutia nia 2020 Mkiti wake wa CCM alipinga jina huyu Dr,nadhani huko jimboni na ndani ya chama wanamjua alivyo wa ovyo.

Sasa naamini kuwa alipokuwa Waziri hazikuiva na Mkenda.
NGWANGWALA OVYO SANA VEVE.
 
Mbunge wa Nzega vijijini Dkt Hamis Kigwangalla leo wakati anachangia hotuba ya bajeti kuu ya serikali amesema rais Samia anatakiwa kupita bila kupingwa mwaka 2025 ili aendelee mpaka 2030.
Kigwangalla amesema atakayejaribu kumpinga ndani ya ccm na hata nje atakiona cha mtema kuni hasa ikizingatiwa kuwa Chadema walishatangaza kuwa hawatashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo Lisu kuendelea kulelewa Ubelgiji.

View attachment 1818634
Hivi hii nchi tunaenda wapi mambo ya msingi hayazungumziwi kabisa et mama anacheza mpira mwingi jamani naombeni mnaojuwa tafasili ya neno kigwangala ina maana gani wanyamwez msione aibu kutusaidia maana nikijana wenu wenyewe,
 
Back
Top Bottom