Dkt. John Pallangyo ashinda kura za maoni CCM kurithi kiti cha Nassari

Ila dogo janja amegawa jimbo kirahisi sana

Ndogo yaonekana hajui sheria za kazi, sick sheet signature/approval procedure! Hajui katika kazi ukikosa kazini siku nne mfulilizo bila kibali automatically umejifukuza mwenyewe!! what a pity!
 
Hela za uchaguzi zipo ila za kulipa madai ya watumishi wa umma hakuna!
Ndo hivyo,pesa ya kununua condom na kulipia guest room ipo ila pesa ya kumpa akanunue chakula na Makazi hakuudumie vizuri hakuna. Ndio utaratibu 🙏
 
Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Meru kilifanya Mkutano Maalumu chini ya Usimamizi Wa Humphrey Polepole kupiga kura za Maoni ili kupata jina mwana ccm atakaepeperusha Bendera ya CCM katika Uchaguzi Mdogo Wa Jimbo la ARUMERU MASHARIKI unaotarajiwa kufanyika tarehe 19.05.2019.
Katika kura hizo za Maoni ulioshirikisha takribani Wanachama Wa CCM 33,uliibua tofauti kubwa ya kura baada ya Dr.John Danielson Pallango kuibuka kwa kujipatia kura 470 dhidi ya Wagombea Dr.Daniel Mirisho Pallangyo aliepata kura 50 na William Ndeoya Sarakikya kura 36.
Kimuhemuhe kilichopo Ni Subira ya Vikao vya CCM kuanzia ngazi ya Wilaya,MKOA na CC ya CCM inayotarajiwa kufanyika tarehe 16/04/2019 jijini Dar es Salam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom