Dkt Jakaya Kikwete akubali kushiriki mazungumzo ya amani nchini Msumbiji

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AKUBALI OMBI LA MHESHIMIWA RAIS FIKIPE NYUSI WA MSUMBIJI KUSHIRIKI MAZUNGUMZO YA AMANI NCHINI MSUMBIJI.

Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi.

Ujumbe huo uliwasilishwa jana jijini Dar es Salaam na Mjumbe Maalum wa Rais Nyusi Meja Jenerali Mstaafu Mariano de Araujo Matsinhe ambaye aliongozana na Mshauri wa Diplomasia wa Rais Nyusi Kanali Manuel Mazuze, Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa Monica Patricip Clemente Mussa na Afisa wa Ubalozi wa Msumbiji nchini Rachide Usualle.

2b790774fe45fdb4e9abe61bb69471ec.jpg
 
Weee shindwa katika jina la Yesu kristo aliye haiiiii... Mfalme wa Amani ni mmoja tu.. . YEYE ALIYE JUU KITINI PA ENZII YAKE..
Acha kutuletea udini kwenye mambo yakisiasa utaanzisha mitafaruku baina ya members!! siasa ibaki kama siasa na dini ibaki kama dini jitahidi uweze kutofautisha kati ya dini na siasa
 
Kwani kuna vita msumbiji?
Au ndio taarifa
MKUU NILIWAHI KUANDIKA MSUMBIJI KIMENUKA NAONA HALI IMEKUWA TETE KUNANKIPINDI NILIKUWA NAENDA PEMBA YA MAPUTO MOTO NILIOKUTA MAPUTO MJINI TUKAISHIA HAPO NA KURUDI MAKWETU..WANAUANA MBAYA
 
Acha kutuletea udini kwenye mambo yakisiasa utaanzisha mitafaruku baina ya members!! siasa ibaki kama siasa na dini ibaki kama dini jitahidi uweze kutofautisha kati ya dini na siasa
Lazima uweze kujua Rejesta zinatozumika kwa muhtadhaa mbalimbali...kwenye siasa hakuna neno Mfalme wa Amani.ila kuna Kisiwa cha Amani....
 
Kwani akisema mfalme wa amani kuna tatizo gani? Tatizo mnakaririshwa bila ya kutafakari,baada ya kusema kwa jina la mungu mnasema kwa jina la ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, wakati yeye mwenyewe anasema ana baba yake.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya mungu kama ulivyo andika wewe na Mungu na hiyo ya kwako inamaanisha mkuu wa giza au shetani pole sana maana ya hayo huwezi kujua hadi uwe sehemu ya wana wa aliye juu ya vyote
 
Wakwele kwa kupenda shuhuri yani hata km una shuhuri ya kipaimara ya mwanao we mualike tu anakuja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom