Dkt. Hussein Mwinyi ndie kiongozi mstaarabu kuliko yeyote Tanzania

Hivi huwezi kulinganisha mototo alie kulia Ikulu na hao walio kulia nzenga, Ingunga nk limbukeni zimewajaa yeye ndowakwanza kupata cheo cha uwaziri unetegemea nini kwa mtu kama huyu
 
Halafu hajawahi kuvaa sare za JWTZ kama Kigwangala alivyovaa za askari wanyama pori na Nchemba alivyovaa za FFU na Magufuli kuvaa za JWTZ
Maisha ya kutisha watu sio yake. Ndugu huyu anaishi kwa ujumla hakuna jipya kwake. Sasa ndugu zangu na Mimi si unajua hovyohovyo staili bado hatuvai viatu vikatukaa zaidi ya kuonekana ni vya kuazima.Ukiwa mgeni wa mambo ni shida
 
Kama ndivyo alivyo basi hatofaa huko mnakomuweka,
Ukiwa Mpole sana hii Nchi watakuibia hadi "Mkeo" wanampitisha mbele yako wakijua hutowafanya kitu nawe utawaangalia tu.
 
Namsifu sana huyu waziri asiyependa majivuno, hana vijembe hakika huyu ndiye anastahili kupewa wadhifa mkubwa na kutupeleka inchi ya maziwa na Asali.

Tatizo ni chama kilichomlea na wastaafu wanaomzunguka. Ila naamini 2025 watampa kupeperusha bendera anafaa.
Kama anafaa anafaa tu. Peleka jina lake panapostahili uchaguzi ukifika. Akipita huko Watanzania wataamua. Ila sio 2020. Nadhani tunaye candidate wa 2020 kutoka chama chake.
 
Kama ndivyo alivyo basi hatofaa huko mnakomuweka,
Ukiwa Mpole sana hii Nchi watakuibia hadi "Mkeo" wanampitisha mbele yako wakijua hutowafanya kitu nawe utawaangalia tu.
Hekima inazidi ukali kwanza ukali ni mambo ya kizamani kwanza nani wakutishwa maisha haya. Unajijengea madui ili iweje ndo kipato cha nchi kiongezeke kama sio kuua kipato cha mzalishaji nani atazalisha mahali ambapo sio salama
 
Background ya maisha ina matter au unadhani waliosema maskini akipata nanliu ulia mbwata walikua wajinga?Mtu ametokea familia ya kula mlo mmoja kwa siku na amefika alipo kwa kujipendekeza unategemea awe kama Mwinyi!
Kina Magufuli, Bashite, Mwigulu, Kigwa etc. Jamaa wanataka kuishi ndoto zao kwa kutumia mali za umma! Ndiyo maana ukimwambie aache kutumia VX V8 hakuelewi, kwani hiyo ndiyo ndoto yake aliyokuwa nayo alipokula akilala kwenye mbavu za mbwa!

Hakika inabidi tutakapobadili katiba, tuweke na kigezo cha kipato kwa mtu anayetaka kuwa rais ama kiongozi wa umma. Hawa wanaokuja na njaa zao ni shida tu.
 
Hivi huwezi kulinganisha mototo alie kulia Ikulu na hao walio kulia nzenga, Ingunga nk limbukeni zimewajaa yeye ndowakwanza kupata cheo cha uwaziri unetegemea nini kwa mtu kama huyu
Ni mstaarabu njia ya ikulu Zanzibar ipo wazi
 
Kama ndivyo alivyo basi hatofaa huko mnakomuweka,
Ukiwa Mpole sana hii Nchi watakuibia hadi "Mkeo" wanampitisha mbele yako wakijua hutowafanya kitu nawe utawaangalia tu.
Zanzibar inamfaa ataiongoza vema
 
Background ya maisha ina matter au unadhani waliosema maskini akipata nanliu ulia mbwata walikua wajinga?Mtu ametokea familia ya kula mlo mmoja kwa siku na amefika alipo kwa kujipendekeza unategemea awe kama Mwinyi!
Kuna ka ukweli
 
Namsifu sana huyu waziri asiyependa majivuno, hana vijembe hakika huyu ndiye anastahili kupewa wadhifa mkubwa na kutupeleka inchi ya maziwa na Asali.

Tatizo ni chama kilichomlea na wastaafu wanaomzunguka. Ila naamini 2025 watampa kupeperusha bendera anafaa.

Ni dhahiri sasa Dr. Hussein Mwinyi ndiye Rais wa Zanzibar mtarajiwa
With due respect the man ha travelled on his name recognition without doing a thing...
 
Back
Top Bottom