Dkt. Hussein Mwinyi ndie kiongozi mstaarabu kuliko yeyote Tanzania

rutegeramisi gwategera

JF-Expert Member
Nov 2, 2017
446
493
Namsifu sana huyu waziri asiyependa majivuno, hana vijembe hakika huyu ndiye anastahili kupewa wadhifa mkubwa na kutupeleka inchi ya maziwa na Asali.

Tatizo ni chama kilichomlea na wastaafu wanaomzunguka. Ila naamini 2025 watampa kupeperusha bendera anafaa.

Ni dhahiri sasa Dr. Hussein Mwinyi ndiye Rais wa Zanzibar mtarajiwa

Yametimia Hussein Mwinyi ndiye Rais wa Zanzibar anasubiri kuapishwa tu hakuna namna
Mungu mbariki kijana huyu
 
Namsifu sana huyu waziri asiyependa majivuno, hana vijembe hakika huyu ndiye anastahili kupewa wadhifa mkubwa na kutupeleka inchi ya maziwa na Asari.
Tatizo ni chama kilichomlea na wastaaf wanao mzunguka.
Ila naamini 2025 watampa kupeperusha bendera anafaa

Anaongoza JWTZ

Ata mpigia kelele nani kule?

Apewe mambo yandani kama hajageuka kituko in few weeks
 
Namsifu sana huyu waziri asiyependa majivuno, hana vijembe hakika huyu ndiye anastahili kupewa wadhifa mkubwa na kutupeleka inchi ya maziwa na Asari.
Tatizo ni chama kilichomlea na wastaaf wanao mzunguka.
Ila naamini 2025 watampa kupeperusha bendera anafaa

Tabia inasadifu malezi na makuzi
Ref; tabia za Lusinde and related!!
 
huyu bwana sio kiongozi mzuri hapendi kujichangany na watu W/ulinzi inambeba sana akitupwa kwingine ataumbuka, n muda mwafaka pia mkawamkumbuk vijana wa hayati Jk Nyerere japo mmoja miongon mwao akiwa future president sio mbaya ili kumuenzi mwasisi wa taifa hili,
 
Back
Top Bottom