TANZIA Dkt. Hassan Doulla, Daktari bingwa wa watoto Hospitali ya Dkt. Massawe afariki dunia

Kuna tetesi kwamba Dk Massawe ambaye alikuwa daktari mwenza pale Happy Clinic naye kaaga dunia...

Sijui kama taarifa hizi zina ukweli

Update
Ni kweli Dr. Massawe kaaga dunia...

Screenshot_20210813-182408~2.png
 
Kuna tetesi kwamba Dk Massawe ambaye alikuwa daktari mwenza pale Happy Clinic naye kaaga dunia...

Sijui kama taarifa hizi zina ukweli
Na mm nlisikia hiyo ila nliambiwa alikuwa kwenye hali isiyo nzuri

Ova
 
Dkt. Hassan Doulla, ambaye ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya watoto amefariki dunia. Kwa wale wazazi wenzangu wakaazi wa Dar es Salaam bila shaka mlipata kufika au kushauriwa kufika kwenye Hospitali ua Dkt. Massawe ili kupata huduma, bila shaka mnamkumbuka Dkt. Doulla(Dulla) kwa ushauri wake mzuri mno kuhusu afya za watoto wetu.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

Oooh Nooooo😭😭😭
 
Back
Top Bottom