fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,289
- 2,697
R I P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miezi mitano iliyopitaOooh Nooooo😭😭😭
Kinjikitilee...ebu tuambiee sasa hv utawala wa mama ni full shangwee au full shwengweeee....Utawala wa Mama utakuwa full Shangwe amini nakwambia..
Let the Stone Fall..
Miezi mitano baadae, daktari mwenzake (Dr. Masawe afariki)Apumzike kwa amani Dkt Hassan.
Roho nyingine hiyo. Hata AstraZeneca tu mja huyu angali endelea kuwa hai.
Ila sasa Prof Matoborwa anaendelea na uhakiki wa chanjo hii. Uhakiki ambao ni hewa na wala hata kaa aumalize.
Hiiiiii bagosha!
Au Nasema uongo ndugu zangu?
Shangwe ya Tozo au Magaidi mkuu?Utawala wa Mama utakuwa full Shangwe amini nakwambia..
Let the Stone Fall..
Ukijibiwa naomba unijulishe tafadhali.Shangwe ya Tozo au Magaidi mkuu?
Na Dr Massawe wa watoto naye amefariki Jana, Mungu tusaidie tu.Dkt. Hassan Doulla, ambaye ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya watoto amefariki dunia. Kwa wale wazazi wenzangu wakaazi wa Dar es Salaam bila shaka mlipata kufika au kushauriwa kufika kwenye Hospitali ua Dkt. Massawe ili kupata huduma, bila shaka mnamkumbuka Dkt. Doulla(Dulla) kwa ushauri wake mzuri mno kuhusu afya za watoto wetu.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Miezi mitano baadae, daktari mwenzake (Dr. Masawe afariki)
Muda mfupi baada ya kuchanjwa chanjo Aina ya J&J,
Bila Shaka huu ni ushauri wako mkuu..
Mama yenu wa ccm anaupiga mwingi na lichama lenu chakavuLala salama Dr wa watoto wetu
Pole sana kwa familia yako, pole kwa wafanyakazi wenzako na wote walioguswa na msiba
Ulikua Dr makini sana kwa watoto💔💔💔💔
Dr Amir au? Maana umesema Dr Sameer.Kuna yule pia wa kariakoo, nadhani ni Sameer pale nyuma ya kituo cha fire
Pia alikua Dr bingwa sana wa watoto,naambiwa alishafariki pia
Hii hospital ni Ile ya Prof. Massawe aliyefariki juzi?Lala salama Dr wa watoto wetu
Pole sana kwa familia yako, pole kwa wafanyakazi wenzako na wote walioguswa na msiba
Ulikua Dr makini sana kwa watoto💔💔💔💔
Ujulishwe wewee kama nani?Ukijibiwa naomba unijulishe tafadhali.
Umeshamaliza sosho sasa unaanza kuweweseka hadi mwezi ujao.Ujulishwe wewee kama nani?
Ndio, huyu nae alikua Dr mzuri sanaHii hospital ni Ile ya Prof. Massawe aliyefariki juzi?