Hata sijielewi mkuu, nisamehe tu! Ninekaonea huruma sana ka Jiwe, kumbe raia hawakapendi!! Sasa yule mama sijui itakuwaje?Kumbe we ndiyo unachelewesha Sherehe na maombi yako ya hapana.
R.I.P Dr Dulla.
Utawala wa Mama utakuwa full Shangwe amini nakwambia..Hata sijielewi mkuu, nisamehe tu! Ninekaonea huruma sana ka Jiwe, kumbe raia hawakapendi!! Sasa yule mama sijui itakuwaje?
Dkt. Hassan Doulla, ambaye ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya watoto amefariki dunia. Kwa wale wazazi wenzangu wakaazi wa Dar es Salaam bila shaka mlipata kufika au kushauriwa kufika kwenye Hospitali ua Dkt. Massawe ili kupata huduma, bila shaka mnamkumbuka Dkt. Doulla(Dulla) kwa ushauri wake mzuri mno kuhusu afya za watoto wetu.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
| Assoc. Dean Clinical Faculty of Medicine and Pharmaceutical sciences Head of Department of Paediatrics & Child Health | Master of Medicine in Pediatrics Doctor of Medicine |
hata mi nahisi neno TANZIA liondolewe hiyo REDKila nikiona TANZIA nashtuka
Namkumbuka sana huyu daktari bingwa wa watoto. Nilimfahamu baada ya kumpeleka mtoto wa bro alikuwa muda wote analia, joto limempanda na kila akila ana puke.Pole sana kwa fimilia.
Alikuwa Dr mzuri sana wa watoto na zaidi alikuwa na passion na kazi yake.
Apumzike kwa amani Dr Dulla
upo kwenye ndoa mwaka wa ngapi?Sijui mimi nina roho gani hii jamani naomba mnisaidie! Mzee baba nilikuwa simpendi hata kidogo mpaka wife alifikia kunihoji hivi alishakukosea nini huyu baba? Lakini sasa nimeingiwa roho ya huruma sijapata kuona, yaani natamani haka kazee kasife Mungu akanusuru na nimeshakasamehe bure kabisa! Sijui hii huruma imetoka wapi! Zamani nilikuwa nasema kakifa nitachinja mwanandama aliyenona tule, tunywe na tuimbe lakini sasa nakahurumia sana!