Dkt. Hassan Abbas: Matukio mawili tu yaliyotokea Dodoma mnatangaza Dodoma sio salama? Hivi mmefika New york na London kweli nyinyi?

Kuna kitu kinaitwa "trend".Democrats wawili washambuliwe au waingie matatani katika eneo moja hilo hilo whatever the the time lapse inaweza kuwa tukio kubwa kuliko ukabaji wa kila siku wa eneo hilo.Wasemaje wa serikali wakati mwingine wakae kimya hasa haya masuala ambayo yanahusu Polisi.
Dodoma sio salama ina utelezi mwingi hasa ukiwa umebwia nyagi na una kimwana pembeni. Mabaharia tuwe makini.
 
Takataka kama hizi sitaki kuziona kwenye comments, embedded brain!
_20200610_123209.JPG
 
Back
Top Bottom