Majina ya wanafunzi waliokatwa ambao pia walifika uwanjani kupata zawadi ni Janeth Urassa na Angel Ngulumba. "Tuliambiwa majina yao yaliondolewa ili kupisha nafasi kwa wanafunzi wa kiume. Wanafunzi waliotajwa na kutakiwa kufika mbele ya Makamu wa Rais ni Robina Nicholaus wa Shule ya Marian Girls, Magrath Kakoko (St Francis), Joyceline Marealle (Canossa), Safarina Mariki na Abby Sembuche (Marian Girls).
Wengine ni Sunday Mrutu kutoka (Anne Marie), Nelson Rugola Anthony na Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege-Kagera), huku waliongezwa ni Razack Hassan (St Matthew's) na Hamis Msangi (Eangles).
Kweli watz tumekwisha kujengewa hulka mbaya sana ya kuwa waongo na wanafifiki, hatuwezi kuwa wakwelihata kidogo. Haishangazi kuona mahali tulipo kwa miaka zaidi ya 50 kwa kuwa hatutaki kuwa Realistic hata kwa mambo ya msingi kama elimu. Poleni sana wote mliokutwa na ubabaishaji wa serikali yetu chakavu.
Binafsi naomba niseme ukweli nisijekuwa mnafiki: Zipi sababu za kuwatoa hao 2 walio kwa top ten na kuwaingiza namba 11 na 12? Swala sio kuwa wanaume kwani wanaume siku hizi wameanza kupewa nafasi za upendeleo ama nafasi maalum???? Ukweli ni huu tu hayo mengine na funika kombe, Baada ya kuona katika top ten hakukuwa na mwanafunzi toka upande wa dini ya kiislam wakaona waifurahishe jamii kwa kuwaweka hao 2 si vinginevyo. Hapa ndipo tunapoendeleza unafiki watz, black haiitwi black, inapewa jina jingne, huku yellow ikiitwa white. KWA NINI TUFANYE HAYA???