Dkt. Emmanuel Nchimbi kutogombea tena Ubunge jimbo la Songea Mjini

Pedro nisamehe ila hii ni mada ya pili unakurupuka na kutoa statement zisizo na mashiko.Zitto akisema hagombei tena Ubunge Kigoma Kaskazini,nadhani hagombei tena kule.tafuta details za Nchimbi kasema hagombei ubunge tena wapi?Tanzania nzima au kigoma songea mjini tu?the devil is in the details,and as a person who deals with legal matters you should know better.

Otherwise expecting a politician to stand behind his word is akin to expect a prostitute to be virgin.its a bit too much 'investment' in the wrong area.

Zito alisema atogombea tena ubunge bali atatafta chuo na aanze kufundisha. Hii ya kurudi kigoma mjini ni utapeli kama utapeli mwingine wowote
 
Makundi ya Uraisi na mikakati yao. Usije shangaa kasha ahidiwa kitu-maana huyu ni mmoja wa CC ya chama kama sikosei.
 
Pedro nisamehe ila hii ni mada ya pili unakurupuka na kutoa statement zisizo na mashiko.Zitto akisema hagombei tena Ubunge Kigoma Kaskazini,nadhani hagombei tena kule.tafuta details za Nchimbi kasema hagombei ubunge tena wapi?Tanzania nzima au kigoma songea mjini tu?the devil is in the details,and as a person who deals with legal matters you should know better.

Otherwise expecting a politician to stand behind his word is akin to expect a prostitute to be virgin.its a bit too much 'investment' in the wrong area.

cool down Zitto alisema hagombei nafasi ya ubunge tena .yeye ni wa hadhi a urais na ndicho Petro alichoandika read between the lines .Unamuonea huyu Petro ni mtoa mada makini
 
Sasa wanalia nini? Mitanzania bwana mijitu ya ajabu sana.

Inawezekana alikua anawamegea buku5 kila anapoenda au wengine walikua wapenzi wake wengine walilipwa kwa ajili ya kulia. Kumbuka kwa Rostam alipotangaza kuachia ngazi kuna waliolipwa kulia mpaka kujigalagaza wengine wakizimia uongo.
 
Pedro nisamehe ila hii ni mada ya pili unakurupuka na kutoa statement zisizo na mashiko.Zitto akisema hagombei tena Ubunge Kigoma Kaskazini,nadhani hagombei tena kule.tafuta details za Nchimbi kasema hagombei ubunge tena wapi?Tanzania nzima au kigoma songea mjini tu?the devil is in the details,and as a person who deals with legal matters you should know better.

Otherwise expecting a politician to stand behind his word is akin to expect a prostitute to be virgin.its a bit too much 'investment' in the wrong area.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ge-2015-nitagombea-urais-kupitia-chadema.html
 
Nchimbi amepima hali ya siasa ya Songea na amebaini kwamba hakubaliki tena. Hata akigombea Nchimbi hawezi kushinda Songea walikuwa wanajadiliana aende Nyasa kwa marehemu Komba. Kuna mpango wa kugawa jimbo ili Nchimbi apate na Stella Manyanya apate. Lakini Nyasa nako si shwari sana maana serikali ya mitaa UKAWA walichukua zaidi ya asilimia 90
 
That statement became invalid the moment He was kicked out of CDM. CDM there is the operative word. Kweli wanasiasa wa Bongo hamjawazoea.

Ukitazama maneno yake yako impliedly, na hata mwisho anasema kuwa kama chama hakitamruhusu, basi atakubaliana na uamuzi wake.

  • "Nimefanya kazi kubwa katika kazi yangu ya ubunge, nimeleta mabadiliko mengi kuanzia bungeni mpaka jimboni. Nadhani inatosha na hata nikiongezewa miaka mingine sitaweza kufanya yale yaliyonishinda katika kipindi cha miaka kumi.

    "Kama Mungu ataniweka mpaka mwaka 2015, sitagombea ubunge tena kwa sababu kazi niliyofanya inatosha. Natangaza rasmi kuwa nitagombea urais kupitia chama changu cha Chadema, bila kusababisha msuguano wowote na sitaki kuingia katika historia ya kurudisha nyuma harakati za upinzani kushika dola," alisema Zitto.

    "Nataka kuleta changamoto mpya, nitawaeleza watu wa chama changu nia hiyo na nitatoa hoja za msingi. Hata kama sitapata ridhaa yao, lakini huo ndio msimamo wangu.

    "Iwapo chama kikiona sistahili au sifai, nitakubaliana na uamuzi huo. Watu wengi wanadhani urais ni cheo, hawajui kuwa ni nafasi ambayo inakufanya ufanye vitu ambavyo ni vikubwa na vya maendeleo kwa wananchi."

cool down Zitto alisema hagombei nafasi ya ubunge tena .yeye ni wa hadhi a urais na ndicho Petro alichoandika read between the lines .Unamuonea huyu Petro ni mtoa mada makini

Ukitazama wachukua fomu wa TZ kina Makamba, Mwigulu na Ngeleja, Zitto kweli anafaa kuwa Mgombea Uraisi.., au kualiza utata, katiba ibadilishwe, agombee u---------- mkuu wa TZ kabisa. Maana hawa kina Makamba hakuna la maana walilolifaya, sio bungeni au kwenye vyama vyao. Hao wote wanasafiri popularity ya CCM. leo hii wakiondolewa CCM hata watu 100 kuja kwenye mkutano wao itakuwa matatizo bin tabu.
 
Huyo ni kama Zitto Kabwe. Atarudi tena na kusingizia kuombwa na wananchi kugombea tena. Kwani si hata Zitto alitangaza kutogombea tena Ubunge na sasa anawinda Kigoma Mjini? Wanasiasa wa nchi hii wengi ni matapeli. Mkuu Kilaza,usiamini maneno ya wanasiasa kwakuwa wengi husema kwa utani na utapeli zaidi. Chichidodo!

Ni kama zitto kwa mantiki kuwa anabadilisha jimbo
Anaenda jimbo la Nyasa kwa Marehemu Komba.
 
Last edited by a moderator:
Ukitazama wachukua fomu wa TZ kina Makamba, Mwigulu na Ngeleja, Zitto kweli anafaa kuwa Mgombea Uraisi.., au kualiza utata, katiba ibadilishwe, agombee u---------- mkuu wa TZ kabisa. Maana hawa kina Makamba hakuna la maana walilolifaya, sio bungeni au kwenye vyama vyao. Hao wote wanasafiri popularity ya CCM. leo hii wakiondolewa CCM hata watu 100 kuja kwenye mkutano wao itakuwa matatizo bin tabu.

YEAH chama cha mapinduzi ni cha wajasiriamali wanatangaza uzalendo mwezi wa uchaguzi mkishawachagua basi. Kikishindwa uchaguzi ndio mwisho wake maana watasemana madhambi yao kwa serekali mpya. Zitto awe na subira na ajipambanue kama mpinzani hicho ndicho watu wanakitaka . kUEGEMEA KWA MAFISADI HAKUMSAIDII ZITTO
 
Nchimbi ni mwanasiasa mkongwe amesoma alama za nyakati. Mimi nadhani anaenda kufanya kazi CCM makao makuu kwani Kikwete na timu yake muda wake umekwisha. Atakuwa makamu mwenyekiti au katibu mkuu wa CCM. Kumbukeni yeye ndiye mjumbe mkongwe wa CC consecutively kuliko wote
 
Inawezekana amekwisha andaliwa kitu kingine labda atakuja kuwa katibu mkuu wa chama maana naye huyu ameazia ccm mida mrefu sana
 
YEAH chama cha mapinduzi ni cha wajasiriamali wanatangaza uzalendo mwezi wa uchaguzi mkishawachagua basi. Kikishindwa uchaguzi ndio mwisho wake maana watasemana madhambi yao kwa serekali mpya. Zitto awe na subira na ajipambanue kama mpinzani hicho ndicho watu wanakitaka . kUEGEMEA KWA MAFISADI HAKUMSAIDII ZITTO

Naona mada imeshageuka kuwa ya Zitto, ukihesabu wanasiasa 5 Tanzania wa upinzani bila kumtaja Zitto, hiyo list hujaitendea haki, Sidhani kama Zitto ana cha ku-prove kuhusu upinzani wake.
 
pedro nisamehe ila hii ni mada ya pili unakurupuka na kutoa statement zisizo na mashiko.zitto akisema hagombei tena ubunge kigoma kaskazini,nadhani hagombei tena kule.tafuta details za nchimbi kasema hagombei ubunge tena wapi?tanzania nzima au kigoma songea mjini tu?the devil is in the details,and as a person who deals with legal matters you should know better.

Otherwise expecting a politician to stand behind his word is akin to expect a prostitute to be virgin.its a bit too much 'investment' in the wrong area.

zitto alisema hagombei ubunge anajiandaa kugombea urais na tena akasikika akisema anastafu siasa anakwenda kufundisha. Usiwe msahaulifu.
 
Naona mada imeshageuka kuwa ya Zitto, ukihesabu wanasiasa 5 Tanzania wa upinzani bila kumtaja Zitto, hiyo list hujaitendea haki, Sidhani kama Zitto ana cha ku-prove kuhusu upinzani wake.

we ndo umemleta kwenye huu uzi basi simtaji tena umtaje mwenyewe hii tabia yenu ndio inawaharibia yaani act mna kifungo cha imani kwamba huyu haguswi akiguswa ni misifa hayo mambo ya fb
 
Yeye mwenyewe anajua uchaguzi uliopita hakushinda, ilikuwa mbinde!! Anajua akirudisha kichwa itakuwa kifo chake cha kisiasa, anaenda kugombea majimbo ya vichochoroni huko jimbo la nyasa. Unachezea ukawa!
 
nchimbi%20songea.JPG

Dkt. Emmanuel Nchimbi akihutubia mkutano wa hadhara

Mbunge wa Songea mjini Dkt Emmanuel Nchimbi ametangaza rasmi kutogombea tena ubunge katika jimbo, katika mkutano wa hadhara ambapo baadhi ya wanachama wa CCM wameonesha kutokubaliana na uamuzi huo.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya wananchi wakiwemo wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Songea mjini mkoani Ruvuma, wamejikuta katika hali ya sintofahamu huku wengine wakimwaga machozi baada ya mbunge wa jimbo hilo, mh. Dkt. Emmanuel Nchimbi kutangaza rasmi kutogombea tena ubunge katika jimbo hilo.

Wachambuzi wa mambo wanasema Nguvu ya CHADEMA kuanzia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na Watia nia wa CHADEMA TAKRIBANI 10 mpaka sasa wanaozunguka kata zote za Jimbo la songea Mjini kwa pamoja wakionyesha uwezo na dhamira kubwa ya uongozi wakiwemo Madaktari wa Binadamu ambao ni wawili .

Wanaharakati na wasomi wengineo imemtisha Mbunge huyo na kuna tetesi anataka kukimbilia Jimbo la Mbinga Magharibi lakini huko kuna Kigingi kingine kuna Mtu anaitwa MWANACOTIDE ambaye wananchi wa huko anataka agombee Ubunge kupitia CHADEMA na ameonyesha uwezo mkubwa wa kuipatia CHADEMA.

Wenyeviti wengi wa Mitaa na Vijiji kitu ambacho hakijawai kutokea kwa upinzani kupata Idadi kama hiyo toka 1995.

Tusubiri tuone nini kitatokea japokuwa amesema atakuja kutoa tamko rasmi Jumapili mara atakaporudi kutoka Bungeni
 
ameshasoma alama za nyakati mapema wabunge wa ccm walio wengi kurudi darasani ni ndoto za kichaa kujenga ghorofa angani .
 
Back
Top Bottom