Dkt. Edward Hosea ashinda urais wa Tanganyika law society (TLS) , apata kura 293 na Flaviana Charles kura 223

Acehood

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
612
1,000
Msando is a good chap, na angeshinda Ila Ile clip ya yeye kupima oil kwenye gari ndio ilimtoa kwenye reli.
Watu hawapimii oil mbele ya camera, hayo mambo yanafanywa ndani ya Noah tinted mlimani city.
Mkuu vipi kaclip kake kanapatikana ?
 

Brother Kaka

Member
Jun 11, 2013
81
125
Naona mama kaanza vizuri na kauli mbiu ya KAZI IENDELEE. Amefanikiwa kumuweka Hosea pale TLS. Maana huyo jamaa na jasusi na mtumishi wa umma mwandamizi. Halafu jamani, huo ushindi aliopata ni kama asilimia 37% ya kura zote ikiwa ni chini ya asilimia 50% ya kura zote za wanachama wa TLS. Hii Maana yake ni kuwa bado Dkt. Hosea hakubaliki na walio wengi.
 

wax

JF-Expert Member
Jun 14, 2015
5,553
2,000
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku
Kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa
 

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
16,138
2,000
Bongo Unafiki Mwingi Msando swala la corona aligeuka kuwa daktari mpaka aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa wakati huo Mrisho Gambo akamsweka ndani. Leo bado corona ipo hakuna Tahadhari yeyote aliyochukuwa.
Ndiyo maisha halisi ya raia na viongozi wengi nchini, pamoja na wanasiasa
 

LGF

JF-Expert Member
Dec 6, 2020
450
250
View attachment 1753667
Waliochuana kuwania urais ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hosea, wakili maarufu, Albert Msando, Flaviana Charles, Shehzad Wall na Rais wa zamani wa chama hicho, Francis Stolla.

Matokeo ya Uchaguzi wa Urais wa TLS

Edward Hosea 293
Flaviana Charles 223
Shezhad walli 192
Albert Msando 69
Francis Stolla 17

======

UCHAGUZI TLS, NI DKT HOSEA

Dkt Edward Hosea amekuwa Rais mpya wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) akishinda kwa jumla ya kura 293 akifuatiwa na malkia wa nguvu Flaviana Charles aliyepata Kura 223 Kati ya kura 802 zilizo pigwa na wanachama hao.
View attachment 1753814
Learned friends wameamka, hurrah! Kilikuwa kimeanza kuwa kichaka cha usaliti na uanaharakati anarchist. Tulianza na traitor numero uno tundulissu TLS wakampa ushindi "landslide" tukajiuliza kulikoni. As if hiyo haijatosha kaja fatmakarume, Princess of the Royal blood, defender of slavers, arch - enemy of the revolution, kasomeshwa ivy schools hela za ikulu. Jamani!!

One-two-three kaja huyu "Daktari" wa mwisho akamwamrisha Rais Suluhu aitishe uchaguzi harrrrraka sana within 14 days achague Waziri Mkuu kwa tumehuru tukasema uuuuwiii.

For good measure, kaja mgombea oldguard iwe one-two-three-four, naye hivihivo anataka tumehuru - confrontational fellow. Bahati nzuri naye wamemkataa and the rest is now beginning to be history.

Then, ghafla, the learned fraternity wamezinduka. Kumbe, utterly fed up, they have come to their senses. Thank God. Karibu Mzee Hosea, wimbo wetu ule ule Tanzania Tanzania. You are one of us, now TLS iko kundini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom