Mh.Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima,Naomba nikupongeze wewe na wasaidizi wako katika Kuleta matokeo chanya kwenye hii secta Nyeti ya Afya
Mh Waziri Dr Dorothy Gwajima sisi ni vijana wako katika sekta hii ya afya kwa Upande wa Famasi,
Mh Waziri sisi vijana ambao tuna shauku ya kutumia maarifa yetu/ Taaluma zetu ili kuleta huduma bora kwenye Taifa letu na vile vile kujiingizia kipato
Katika yote hayo Mh Waziri ili yatimie yanahitaji LESENI YA TAALUMA, Mh Waziri tumekuwa tukisubiri matokeo yetu ya Mtihani ambao tumeufanya Tarehe 27&28 mwezi wa Kwanza bila mafanikio mpaka leo
Ni takribani Miezi miwili na wiki mbili Sasa matokeo hayajatoka, kumekuwa na danadana zisizoeleweka kila tukifuatilia hili suala la matokeo
Kama ujuavyo Mh Waziri hii kada huwezi fanya chochote bila Leseni hivyo tumekuwa tukiumia kwa muda mrefu sana....Idadi ya waliofanya mtihani ni 798 Tanzania nzima(Pharmacists 303 & Technicians 495), wakati mwingine tunashindwa kuelewa inakuwaje kada kama Madaktari, Nurse wao matokeo yanatoka haraka sana kuliko sisi japo ya kuwa na idadi kubwa zaidi ya mara nne ya wafamasia???? Hata ukiangali gharama za kufanya mtihani nikubwa sana kuliko wao bado sisi Matokeo tunazungushwa sanaa??? na kwanini???
Mh.Waziri Dr Dorothy Gwajima Tunakuomba kwa Mamlaka yako makubwa uliyopewa na Amri jeshi mkuu Mh Samia Suluhu Hassan, Tunakuomba litatuliwe hili kwa haraka, Vijana wako tunaumia na Tuna hali mbaya kwakweli
Ahsante na niwie radhi kwa mpangilio usio ridhisha hapa jukwaani....
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAAA!!
KAZI IENDELEE!