Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 752
- 3,096
Kutana na Dkt. Delvina Japhet Tarimo aliyeweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kupata PhD ya Physics ndani ya mwaka mmoja na miezi sita katika chuo kikuu cha Pretoria, Africa Kusini. Alikidhi vigezo vyote mwaka jana akiwa na umri wa miaka 31 na mwezi huu tarehe 6/5/2021 alitunukiwa hiyo nondozi yake ya PhD.
Jana aliitwa na Balozi balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ubalozi jijini Pretoria. Pichani Kuanzia kushoto ni Richard Lupembe, Peter Shija, Balozi G. Milanzi, Delvina, Melchoir Rweyemamu, Rosemary Jairo na Col David Msakulo.
Hongera sana