Dkt. Delvina Japhet Tarimo: Mtanzania wa kwanza kupata PhD ya Physics kwa muda mfupi

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
752
3,092
Kutana na Dkt. Delvina Japhet Tarimo aliyeweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kupata PhD ya Physics ndani ya mwaka mmoja na miezi sita katika chuo kikuu cha Pretoria, Africa Kusini. Alikidhi vigezo vyote mwaka jana akiwa na umri wa miaka 31 na mwezi huu tarehe 6/5/2021 alitunukiwa hiyo nondozi yake ya PhD.

Jana aliitwa na Balozi balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ubalozi jijini Pretoria. Pichani Kuanzia kushoto ni Richard Lupembe, Peter Shija, Balozi G. Milanzi, Delvina, Melchoir Rweyemamu, Rosemary Jairo na Col David Msakulo.

1.jpg
2.jpg

Hongera sana
 
Ana meno yalio jipanga vyema.
Ana matege m'bonyeo kwa magoti.
Ana jicho la upanga.
Hajaolewa/hana Pete yeyote.
Ni mrefu wa aprix futi 6,1.
Ana ngozi ya chochote colour.
Ana vaa kiatu size 44/45
Ana umbo namba 1.
Otherwise, naungana na watanzania wenzangu kwa kumpongeza sana mwali.
 
Kutana na Dkt. Delvina Japhet Tarimo aliyeweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kupata PhD ya Physics ndani ya mwaka mmoja na miezi sita katika chuo kikuu cha Pretoria, Africa Kusini. Alikizi vigezo vyote mwaka jana akiwa na umri wa miaka 31 na mwezi huu tarehe 6/5/2021 alitunukiwa hiyo nondozi yake ya PhD.

Huyu mama wa JK, JPM alishindwa kumtoa ubalozini? Kweli JK kiboko
 
Kutana na Dkt. Delvina Japhet Tarimo aliyeweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kupata PhD ya Physics ndani ya mwaka mmoja na miezi sita katika chuo kikuu cha Pretoria, Africa Kusini. Alikizi vigezo vyote mwaka jana akiwa na umri wa miaka 31 na mwezi huu tarehe 6/5/2021 alitunukiwa hiyo nondozi yake ya PhD.

Jana aliitwa na Balozi balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ubalozi jijini Pretoria. Pichani Kuanzia kushoto ni Richard Lupembe, Peter Shija, Balozi G. Milanzi, Delvina, Melchoir Rweyemamu, Rosemary Jairo na Col David Msakulo.

Hongera sana
Huyo Melkior Rweyemamu anawadhifa gani?
 
Ninaye pia wa kiswahili mkuu, nitawaletea......hongera kwa huyo dada
 
Ana meno yalio jipanga vyema.
Ana matege m'bonyeo kwa magoti.
Ana jicho la upanga.
Hajaolewa/hana Pete yeyote.
Ni mrefu wa aprix futi 6,1.
Ana ngozi ya chochote colour.
Ana vaa kiatu size 44/45
Ana umbo namba 1.
Otherwise, naungana na watanzania wenzangu kwa kumpongeza sana mwali.
Mguu wa kichaga?
 
Mmh mwali
 
Ila weweee

Huu ni unyanyasaji wa kijinsia
 
Back
Top Bottom