TANZIA Dkt. Casper Haule wa Hospitali ya Taifa Muhimbili afariki dunia

Songea kuna wachawi sana
Yanaongelewa mengi nasikia sikia.🙌
wananzengo wanasema kama jamaa ndo alikua bega Kwa bega mpaka mdogo wake anafariki ,akaja na marehem toka dsm mpaka huku yeye mwenyew kuja mzika ,hiyo presha sijui mshtuko si angeupata huko huko aje aupate dakika za mwisho huku.

Okay ..nilisikia huyo mdogo wake alifariki ghafla Kwa kuanguka tu.
 
Yanaongelewa mengi nasikia sikia.
wananzengo wanasema kama jamaa ndo alikua bega Kwa bega mpaka mdogo wake anafariki ,akaja na marehem toka dear mpaka huku yeye mwenyew kuja mzika ,hiyo presha sijui mshtuko si angeupata huko huko aje aupate dakika za mwisho huku.

Okay ..nilisikia huyo mdogo wake alifariki ghafla Kwa kuanguka tu.
Si unaona!! yaani Songea na Mwanza wana huo uchawi wa kumchukua mtu mzimamzima, aidha anafanywa msukule au analiwa nyama kama kuna mzazi au Mjomba na shangazi zao walikula za wenzao
 
Dah sio poa kabisa Mzee...
saa 8 wamempeleka hosp jamaa ,kule home yule bado hajaenda kuzikwa na huyu amefariki tayari.

Ila hayo mambo dah 🙌
 
Daah..! Pole sana hakika ni pigo kwa familia.
Ila huu utaratibu wa kuaga mwili ningekua na mamlaka ningeufutilia mbali maana ni mara kadhaa watu hudondoka na kupoteza fahamu.
Binafsi naona picha ya marehemu inatosheleza sana mbona wenzetu Waislamu hawana utaratibu huu..?
 
Wewe rudisha tu hela za watu

IMG_20211211_074742_921.jpg
 
Aisee hii kitu asikwambie mtu mkuu ....

Jamaa kaja na msiba wa mdogo wake mpaka songea kuja kuzika mdogo . Katika harakati za kuaga muda umefika jamaa kapita kuaga ,baada ya kustep forward kaanza kujisikia vibaya ikabidi ashikwe awekwe pembeni kidogo apate hewa huku wananzengo wakijua ni Ile ya Hali ya majonzi mazito labda presha na nn .......

Bahati nzuri au mbaya ,kulikua na doctor mwenzake ambaye alikua amemsindikiza ...akanote kitu kwamba c Hali ya kawaida .......akaona kabisa daktar mwenzake ameanza sijui kitaalamu wanasemaje sijui kusuffocate sijui nini huko mm sijui......
Ikabidi wachukue usafir chap wawah hosp ya mkoa Ruvuma .........

Lakini Kwa bahati isiyo nzuri mpaka anafika hosp (sehem kama 2km from hosp 500 t nauli bajaji) .......akawa ameumaliza mwendo .......bila hata kumzika mdogo wake alietoka na msiba DSM wa mdogo wake kuja kumzika ....lakini ndo hivyo wote wametangulia mbele ya haki....

ni tukio ambalo hata asomjua kama Sisi tuliguswa na kubaki kusikitika kweli , wengine kulia kabisa kila ukiangalia wale ndugu walioacha msiba nyumbani kuja kumkimbiza Kaka wa marehem hospi ......hawaamini kinachotokea ....wanahisi kama maigizo ivi but ndo Ivo tena.

Pole Kwa familia na walioguswa pia.

Inna lillahi wainna ilaihi rajiun.
Mungu wangu!
 
R.I.E.P....Sad story...
maisha ya binadamu ni very delicate...Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema.
 
Dah

Dah! Haya, Siku zake zilifika. Umeelezea vzuri...japo inashitua.
 
Daaah!poleni sana!very sad ...watoto na familia zao inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom