TANZIA Dkt. Casper Haule wa Hospitali ya Taifa Muhimbili afariki dunia

Corona imeingia sasa kile kirusi hatarishi tufanye kujifukiza

Apumzike kwa amani. Nyuma yake mbele yetu.

Kama taifa tungali na safari ndefu maana hata yule wa India tungali tunachunguza alikotokea.

Bila shaka hiyo ndiyo ilishatoka hiyo.
 
Apumzike kwa amani. Nyuma yake mbele yetu.

Kama taifa tungali na safari ndefu maana hata yule wa India tungali tunachunguza alikotokea.

Bila shaka hiyo ndiyo ilishatoka hiyo.
Kuna mtu kafa?
 
Alikua head wa Breast Unit Muhimbili,Dr humble na Muugwana,amefariki jana kwenye msiba wa mdogo wake baada ya kuaga mwili akaishiwa nguvu.

Nitakukumbuka kwa kunihudumia bila kuchoka mpaka nikapona,amehudumia pia wamama wengi wenye vimbe mbalimbali kutoka kila pembe ya Tanzania.

Mungu amlaze mahali pema peponi.View attachment 2039594View attachment 2039595
Apumzike kwa amani.. Kifo kimezaa kifo
 
Apumzike kwa amani. Nyuma yake mbele yetu.

Kama taifa tungali na safari ndefu maana hata yule wa India tungali tunachunguza alikotokea.

Bila shaka hiyo ndiyo ilishatoka hiyo.
Yaani wewe ubongo wako umejaa Corona tu.
Ukila Corona,ukiamka Corona.
Kama umetumwa vile
 
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba, Mungu awape nguvu na faraja kwa kipindi kigumu wanachopitia. Kibinadamu sio rahisi kupokea na kuamini ila njia za Mungu hazichunguziki...tutawaweka kwenye maombi.
 
Poleni sana Mungu akawe mfariji wenu ktk kipindi hiki kigumu, kupokea msiba mmoja tuu kwangu ni ngumu nawaza wao miwili at per. Poleni sana kwa kweli
 
Hivi uwa haujishtukii?
Alafu watu Hawana habari hata na hyo omicron.wafu wapo bize na maisha.
Badilika mzee.
Kama ulikula hela za watu rudisha.

IMG_20210721_112817_344.jpg
 
Aisee hii kitu asikwambie mtu mkuu ....

Jamaa kaja na msiba wa mdogo wake mpaka songea kuja kuzika mdogo . Katika harakati za kuaga muda umefika jamaa kapita kuaga ,baada ya kustep forward kaanza kujisikia vibaya ikabidi ashikwe awekwe pembeni kidogo apate hewa huku wananzengo wakijua ni Ile ya Hali ya majonzi mazito labda presha na nn .......

Bahati nzuri au mbaya ,kulikua na doctor mwenzake ambaye alikua amemsindikiza ...akanote kitu kwamba c Hali ya kawaida .......akaona kabisa daktar mwenzake ameanza sijui kitaalamu wanasemaje sijui kusuffocate sijui nini huko mm sijui......
Ikabidi wachukue usafir chap wawah hosp ya mkoa Ruvuma .........

Lakini Kwa bahati isiyo nzuri mpaka anafika hosp (sehem kama 2km from hosp 500 t nauli bajaji) .......akawa ameumaliza mwendo .......bila hata kumzika mdogo wake alietoka na msiba DSM wa mdogo wake kuja kumzika ....lakini ndo hivyo wote wametangulia mbele ya haki....

ni tukio ambalo hata asomjua kama Sisi tuliguswa na kubaki kusikitika kweli , wengine kulia kabisa kila ukiangalia wale ndugu walioacha msiba nyumbani kuja kumkimbiza Kaka wa marehem hospi ......hawaamini kinachotokea ....wanahisi kama maigizo ivi but ndo Ivo tena.

Pole Kwa familia na walioguswa pia.

Inna lillahi wainna ilaihi rajiun.
Songea kuna wachawi sana
 
dah upendo ulioje,yaani mpaka unaondoka na ndugu yako.

sasa balaa ni kwa wenye msiba X2
rip dr na mdogo wake.
Haya Mambo yanafaa yatafsiriwe Na Mshana Jr!! Mshana njoo huku!! Anyway ni mdogo wake Ila kuaga mwili kuna shida hasa maeneo watu wanapoabudu Nguvu za Kiroho kwa sana
 
Inasikitisha sana misiba miwili wakati mmoja. Mungu awafariji waliobaki wote.
 
Back
Top Bottom