Dkt. Bashiru tupe mrejesho. Je Makonda ameshabadilika?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,794
71,214
Ukiwa katika ibada ya mazishi ya Dkt. Reginald Mengi kule Moshi ulimuombea msamaha Makonda kwa tabia zake mbaya zisizo za kiuongozi

Pia uliahidi kuwa utaendelea kumfundisha ajirekebishe kwani ulikiri kuwa CCM ilikuwa imeshindwa kuandaa vijana kuwa viongozi. Je, baada ya zaidi ya mwaka umefanikiwa kumrekebisha au bado yuko vile vile?

Na kama hajajirekebisha nini kinakufanya kama Katibu mkuu ushindwe kumshughulikia?

 
Back
Top Bottom