Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: Rais Magufuli hataongeza hata sekunde moja baada ya Awamu yake kuisha

Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda.

Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka mitano mingine na muda wake ukiisha basi hataongeza hata sekunde moja ya utawala.

Dkt. Bashiru amesema...

"Mgombea wetu wa Urais Dkt. Magufuli anaomba kura kwa ajili ya kipindi chake cha pili, akimaliza hapo hataongeza hata sekunde. Uvumi kwamba kupitia wingi wa wabunge wa CCM atabadilisha Katiba ili aendelee kuongoza, ni uongo. Upuuzeni"

Madikiteita wote wanasemaga hivyo!
 
Attachments

  • FB_IMG_1598701037519.jpg
    FB_IMG_1598701037519.jpg
    56.7 KB · Views: 1
Wabu
Wabunge ndugai wabunge wa hovyo hovyo wasirudishwe bungeni.
Safari hii cdm Ina wagombea wengi vijana shupavu
Na hiki ndiyo kinaitesa sana ccm kibaya zaidi ni vijana wasomi wenye elimu za vyuo vikuu mpaka huko kwenye udiwani.
 
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda.

Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka mitano mingine na muda wake ukiisha basi hataongeza hata sekunde moja ya utawala.

Dkt. Bashiru amesema...

"Mgombea wetu wa Urais Dkt. Magufuli anaomba kura kwa ajili ya kipindi chake cha pili, akimaliza hapo hataongeza hata sekunde. Uvumi kwamba kupitia wingi wa wabunge wa CCM atabadilisha Katiba ili aendelee kuongoza, ni uongo. Upuuzeni"

Kamwambie Ndugai
 
Mbona CCM haiwakemei wanachama wake wanaoisukuma hoja hii!!

Pia Spika wa Bunge alimwambia Mbunge Kessy kuwa hiyo ni hoja ya Bunge lijalo!!

Yupi kati ya hawa makada wa CCM tumwamini sasa?
Rejea kauli ya ndugai wanahitaji 2/3 ili column itimie
 
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda.

Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka mitano mingine na muda wake ukiisha basi hataongeza hata sekunde moja ya utawala.

Dkt. Bashiru amesema:

"Mgombea wetu wa Urais Dkt. Magufuli anaomba kura kwa ajili ya kipindi chake cha pili, akimaliza hapo hataongeza hata sekunde. Uvumi kwamba kupitia wingi wa wabunge wa CCM atabadilisha Katiba ili aendelee kuongoza, ni uongo. Upuuzeni"

Kwani kaulizwa?😀
 
huyu Bashiru awasiliane kwanza na ndugai,tena nasikia eti kapita bila kupingwa huko kwao ili aje auhalalishe uharamia wake kuinajisi katiba ya wananchi
 
Pana waliojela kwa maagizo ya kubambikwa means asipotoka madarakani watafia jela kungojea ushahidi usiokamilika Leo Wala kesho
 
Kwani kaulizwa?😀
Wamejistukia dhamira yao,japo awasemi but matendo yao yanasema hivyo.Vifuatavyo Ni viashiria vya kung'ang'ania madarakani.
Kama sio hivyo why.
.Kujenga ikulu mpya
.why kujenga Chato
.Why nguvu kubwa kuuwa upinzani
.why awaendeshi serikali kiuwazi.
.why teuzi za ukabila,ukanda na udini.
.kuminya Uhuru na demokrasia.
Kutowakemea watakao aongezewe mda
Mtu asiye na nia ya kubakia madarakani hawezi fanya hayo.

Watz nafasi pekee ni October zaidi ya hapo tumekwiishaa.
Nchi nyingi tu zilibadili vyama na zinasonga Wala Hakuna kilichobadilika.
Nchi Ni katiba chama chochote chaweza kuongoza kwa ridhaa ya wananchi.
 
Akirudi Tena atatutesa Sana check anavyowatesa watumishi eti sababu walimpigia kura Lowasa Mambo ya 2015 bado ana visasi navyo. Sembuse Leo watz wanajaa mikutano ya Lisu mjiandae kwa visasi milele, kimara tu alibomoa nyumba zao eti walimchagua lowasa. Pamebomolewa mita 120 panapojengwa hata mita 70 hazifiki Sasa Hawa wa mita 50 kwann aliwabomolea.
Huwa nashangaa Sana kuona polisi na wakurugenzi wanajipendekeza kwa mtu asiyejali maslai yao.
 
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda.

Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka mitano mingine na muda wake ukiisha basi hataongeza hata sekunde moja ya utawala.

Dkt. Bashiru amesema...

"Mgombea wetu wa Urais Dkt. Magufuli anaomba kura kwa ajili ya kipindi chake cha pili, akimaliza hapo hataongeza hata sekunde. Uvumi kwamba kupitia wingi wa wabunge wa CCM atabadilisha Katiba ili aendelee kuongoza, ni uongo. Upuuzeni"

Danganya toto. Bashiru ni KM tu mweupe aliyetoka UDSM. Atakuwa na ubavu gani kumzuia asiongeze muda.
Mbona KM amekuwa mtazamaji tu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba mwaka jana? Pia kwanini Wasimamizi wa Uchaguzi wanatekeleza agizo la Mh Rais kwa Ma-DED kuwa wasitangaze washindi wa Upinzani maana amewateua, anawalipa mishahara, amewapa magari, nk., kwa kuengua wagombea wa udiwani na ubunge wa Upinzani. Juhudi zote hizo zimelenga wapi. CCM ikiua au ikidhoofisha vyama vingine vya siasa kibakie chama chenyewe nini kitafuatia?
 
Hivi Lisu anafikiri hii nayo ya kusema rais atajiongezea muda itamuongezea kura?
 
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda.

Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka mitano mingine na muda wake ukiisha basi hataongeza hata sekunde moja ya utawala.

Dkt. Bashiru amesema:

"Mgombea wetu wa Urais Dkt. Magufuli anaomba kura kwa ajili ya kipindi chake cha pili, akimaliza hapo hataongeza hata sekunde. Uvumi kwamba kupitia wingi wa wabunge wa CCM atabadilisha Katiba ili aendelee kuongoza, ni uongo. Upuuzeni"

Bashiru asitufokee, aliyewatangazia Watanzania mpango wa kuondoa kikomo cha muda wa Urais ni Job Ndungai. Na hujuma zilizofanywa na NEC kuwaengua wagombea ubunge wa upinzani ni maandalizi ya mpango huo haramu. Sasa tujiulize wote NEC ilipokea agizo la kuwaengua wapinzani toka kwa nani? Na Ndungai alitumwa na nani kuelezea mkakati wa kubadilisha katiba mwezi November ili kumuwesha Rais aliyepo madarakani kuendelea kutawala hadi atakapochoka mwenyewe?
 
Back
Top Bottom