ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,052
- 6,197
Bashiru alidhani kafika hata mwondoko ukawa mpya.walitumia nguvu nyingi sana kumwabudu mwendazake ni wapuuzi, yan pamoja na lipaulo ni wapumbavu wakutupwa
Alijisahau kwa kasi kubwa sana
Kwake JIWE ikawa ndio wimbo uliyo bora, DOLA ikawa TUMAINI kuu la kujivunia badala ya kuhuisha maisha ya watanzania.
Hata hivyo, kwa haya yote, Mungu mwenye upendo kamsaidia aweze kujitafakari ajifunze ili aanze upya, AKUE.
Aliyekuwa mungu kwao, Mwendazake, hakujaaliwa kupata fursa hiyo, kaishia kwenda na mamizigo yake.