Dkt. Bashiru: Baada ya mzee Kikwete kuingia kura zetu (CCM) zilianza kuporomoka

Wametumwa kumtukana Kikwete wakidhani kwa kufanya wanamjenga mtu wao aliyekosa maarifa ya kuongoza nchi.
Huenda wamebaini msimamo wake kwa sasa hasa kwa kuwananga makatibu wake wakuu na wengine kumtukana Mh Kikwete bila kukalipiwa na wateule wao.
Kumbuka Mh Sita aliota pembe chama kilisema ni wakati wa kuweka Mwanamke. Watu watajitokeza kugombea nafasi hiyo
 
January 20, 2020

ACT Wazalendo wamvaa Dk. Bashiru | Ana kiwewe | 2020 tunaing'oa CCM

  • ACT Wazalendo wasema Komredi Msomi Dkt. Bashiru Ally ametuangusha kuelekea 2020 kwa kukwepa mtihani wa uchaguzi huru na haki
  • ACT Wazalendo washangaa Bashiru kujaribu kuihujumu Pemba na Maalim, Seif kihistoria haiwezekani na watu wote wanajua Pemba siyo CCM miaka yote



source : Dar24 media
 
Ukiteua viongozi wahuni kwenye top position kazi yao itakua nikutukana na muponda viongozi waliotangulia ili waonekane wapo kazini haishangazi hata magu alishatukana serikali zilizopita kuwa hazikufanya kitu.
 
Was this necessary?

Absolutely; if you have no meaningful issues to talk about. You end up talking about personalities. Every time passing the buck to predecessors! That is why I always look back at third phase with nostolgia; I have never heard them blaming their pedecessors for anything under the sun.
 
Kikwete na Magufuli wote ni wana CCM, walikuwa na lengo na bado wana lengo la kuimarisha utawala wa CCM, katibu wa CCM (Bashiru) kumsema vibaya mwenyekiti wa CCM mstaafu (Kikwete).

hadharani kwa lengo la kumjenga mwenyekiti wa CCM wa sasa (Maguful) ni sawa sawa kuisema CCM vibaya na si kiashiria kizuri kwa ustawi wa kuunganisha wanaCCM kuwa wamoja hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, maana CCM wanahitaji kuwa wamoja zaidi kipindi hiki kuliko kipindi chochote kabla.

Nilitaraji Dr. Bashiru angelifahamu hili vizuri zaidi kuliko yeyote mwingine.
 
Hivi nikianza form one mwakani inaweza kunichukua miaka mingapi ili niwe na PHD, Msaada tafadhali.
Suala sio itakuchukua miaka mingapi, suala ni unataka PHD ili iweje, hebu kwanza waangalie wenzako wenye PHD wanayoyafanya, unaona ni ya kujivunia kweli?
 
Kumtukana MTU ambaye alikuweezesha kufika ngazi ya juu na unajua katiba yetu hawezi kukujibu in ukosefu Wa adabu
Lakini Mh. Lissu alituonya kuwa wakimalizana na sisi watakuja kwenu
. Safi sana maana walimjua lakini wakampa nchi awashughulikie tu. Na wao si waliwashughulikia wenzao hadi kuna mawaziri walitumika jela za nje . malipo ni hapa hapa duniani ahera kwa Mungu ni kufunga hesabu


Sent using Jamii Forums mobile app

Nadhani tangu mwanzo JK hakuridhika na harakati za chama chake kumpata mrithi wake na hatimaye chaguo lenyewe akijua kuwa kimekosea. Bahati mbaya serikali iliyoingia madarakani nayo ikaanza kuenenda kama siyo ya ccm; ikaanza kujijengea uhalali kwa kulaumu na kudhalilisha watangulizi wake. Hofu aliyoonyesha JK tangu mwanzo ikaanza kueleweka na kupata uzito. Naye kwa upande wake kaamua kuweka unafiki pembeni; kakataa kuimba chorus ya kusifu na kuabudu. Kwa kauli hizi kutoka kwa Katibu Mkuu hali siyo shwari.
 
Naona Bashiru ameamua kumkejeli na kumtusi JK waziwazi. Au labda anaongea kinyume.

Hakuna Tusi jipya la kumnyima Usingizi Mzee Kikwete

Kama aliweza kuvumilia matusi akiwa Amiri jeshi ndio ashindwe akiwa Mwana kijiji wa Msoga?, kuna kitu wanakitaka toka kwa Jk lakin wanakosa pa kuanzia na Jk ni mjanja kawazidi hatua elfu moja
 
Back
Top Bottom