Dkt. Bashiru awataka wanachama wa CCM kutosherehekea kuhusu Membe kufukuzwa bali wachunge kauli wanazozitoa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275
DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amewataka wanachama wa CCM kutosherehekea uamuzi huo na kuwataka kuweka akiba ya maneno, kufuatia kumfukuza uanachama, Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu.

Akizungumza katika mahojiano yake na Gazeti la Mwananchi leo tarehe 2 Machi 2020 jijini Dar es Salaam, Dk. Bashiru amesema kupoteza mwanachama ni msiba na si sherehe, si jambo la kufurahia.

Amesema wamechukua hatua hiyo baada ya hatua za awali kushindwa kufanikiwa, huu ni uamuzi mgumu, na si kusherehekea na nisingependa WanaCCM kujitokeza hadharani kufurahia.

Dk. Bashiru ameeleza kuwa, milango ya CCM kupokea wanachama wanaokiri makosa yao na kuomba msamaha iko wazi, hivyo Membe anaweza kukata rufaa juu ya suala hilo.

“Mchakato huu ni kama wa kimahakama kuna rufaa, nikianza mimi kusema wakati mimi ndio nitapokea rufaa kama nipo ni kama naingilia mchakato wa haki. Na matarajio yangu ni kwamba atarudi CCM, nikiwa hai au nimekufa.

“Sababu milango ya kuwapokea wanachama iko wazi na kuondoka iko wazi, mimi nimesaini barua za misamaha 14 na niko tayari kusaini ya Membe kurudi kama akitaka,” amesema Dk. Bashiru.
 
Hapo kwenye " kukata rufaa " ndio pamenifurahisha.

Nadhani Membe ataitumia fursa hiyo!
 
Hapo kwenye kukata rufaa patamu sana.

Pengine Membe akatumia fursa hiyo kurudi na sio ati aombe msamaha.

Ila kama kweli walimfukuza kwa hofu ya uraisi ina maana akirejea tena hofu hiyo itaondoka?

Kwa nini iondoke wakati atakaporudi?

Na kama nafasi ya kurudi anayo kwa kusamehewa kumbe kwa nini asisamehewe kabla ya kufukuzwa tu.?

Pengine akitaka kurudi kwenye chama na ikathibitika wakambana kikatiba pengine wakamuambia mpaka ipite miezi kadhaa kwa mujibu wa kifungu hiki na kile.

.na pengine mpaka hiyo miezi kupita itakuwa tayari uchaguzi imepita na yeye atakosa kugombea.

Ninahofia tu huwenda kurudi kwake tena kwenye chama kunawapa nafasi wana CCM(kwa mujibu wa katiba yao) kumweka pending kwa muda wautakao ili asiguse nafasi ya uraisi.

Hahhahaa napenda kufuatilia siasa najifunza Mengi ikiwemo kujua ya kuwa mimi nitabaki kuwa mimi na nafasi yangu ipo siku nitaiacha nitabaki mimi tu.

Tusijivunie nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom