Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

Mzee wa kukamata dola leo anaomba japo ata kanafasi ka dakika 2 ka kuchangia hoja kwa Mh. Spika
You are dreaming my dear brother.
Tumeanza na KMK ndugu B.
The guy was so powerful hata baadhi ya mawaziri walikua wsnamuogopa. Alikua anasema ovyo anavyotaka. Eti ukikamata Dola, Dola imemponyoka hata mwaka haujaisha.
Kuna usemi usemao. Ukila nyama usifungue mdomo watu wakaona unakula nyama, maana kesho utakula matembele.
 
Tatizo letu huwa tunajisahau na kujitamkia jambo lolote na mahali popote tunafahamu kuwa nguvu za kiumbaji zinatusikiliza na kupokea kitu kama kilivyo.

Kuna vitabu vitukufu vimejaribu kufunua hizi secret codes za uumbaji mfano Biblia kuna mahali imesema wazi kabisa kuwa tutashibishwa matunda ya vinywa vyetu. Kuna mahali pia panasisitiza sana juu ya kuchanga ulimi.
...nature is very positive and affirmative..We always reap what we....
 
Bashiru was fooled by some people walizokuwa na kiu ya nafasi za kiuongozi katika taifa wakitaka kuimanipulate katiba! Kitendo Cha kumpangia mama ziara ya siku 7 huku wakijua kuwa Mambo hayakuwa sawa hospitalini ni uhaini!
Hata hivyo ashukuru mama Hana hasira na amempuuza na kumsamehe! Akatubu na kumuomba mama msamaha pindi apatapo nafasi!
Hili ndo tatizo kubwa hapa msamaha kapewa Sana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashiru was fooled by some people walizokuwa na kiu ya nafasi za kiuongozi katika taifa wakitaka kuimanipulate katiba! Kitendo Cha kumpangia mama ziara ya siku 7 huku wakijua kuwa Mambo hayakuwa sawa hospitalini ni uhaini!
Hata hivyo ashukuru mama Hana hasira na amempuuza na kumsamehe! Akatubu na kumuomba mama msamaha pindi apatapo nafasi!
Huwa nikitafakari ili suala huwa naumia sana , Yani mtu mgonjwa hafu mtu anakupangia ziara ya siku sita far away from office.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nawaza kufungua kampuni yangu ya Kuuza unga wa mahindi
Lakini mpaka sasa sioni mwangaza
Sijui inakuaje kwenye ulimwengu wa kuumba yale tunayowaza mkuu
 
Back
Top Bottom