chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
Huu sio kwamba ulikuwa uzushi wa Kigogo tu?Baada tu ya msiba wa Mwendazake,alitaka kuhudhuria kikao cha kwanza cha Kamati Kuu, akatolewa nje.
Huu sio kwamba ulikuwa uzushi wa Kigogo tu?Baada tu ya msiba wa Mwendazake,alitaka kuhudhuria kikao cha kwanza cha Kamati Kuu, akatolewa nje.
Hivi inakujia akilini Bashiru na Kikwete kunywa chai pamoja!Huu sio kwamba ulikuwa uzushi wa Kigogo tu?
duh, kwa nini? naona kama CCM wengi wanamfagilia Bashiru, sijui kama kuna sababu inayomfanya wawe na bifu na KikweteHivi inakujia akilini Bashiru na Kikwete kunywa chai pamoja!