Dkt. Ayoub Rioba kwishaaa, leo hajai hata kwenye kiganja

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
29,927
2,000
Watoto wa kitaa tunasema mchawi mpe mwanao akulelee tuone kama atamroga

Nani anamkumbuka Rioba mchambuzi ''uso wa mbuzi". Tasnia ya habari ilililala pale,mzalendo wa kweli na mtetezi wa haki za wanahabari na wala habari

Leo hii ni Mkurugenzi wa TBC kawekwa na chama kwenye mfuko wa shati. Kimyaaaaa kama sio yeye.

Leo hii mwandishi anatiwa ndani na polisi Ayubu Rioba akiwa hana habari,sheria kandamizi inasainiwa na mteule wake sijawahi kumsikia hats akikohoa!

Hivi jamani ukiteuliwa na mtu usiye na imani naye ukakataaa utakuwa umevunja sheria ipi???Maana hii ni aibu kwa Mkurya,Yaaani Chacha anakuwa vile kweli

Inasikitisha sana
 
Vieloon

JF-Expert Member
May 5, 2012
1,520

Njaaa huponza welevu
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
40,395
2,000
Kuna mwingine naye anaitwa Polepole ati anatuaminisha kuna ccm mpya, hii nchi haiishi vituko na vichekesho, sijui hawa wapiga dili ni kina nani?

Hakuna tena cha kelele za katiba mpya wala serikali tatu, shenzi type njaa siyo mchezo.
 
Panapet

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
749
500
Watoto wa kitaa tunasema mchawi mpe mwanao akulelee tuone kama atamroga

Nani anamkumbuka Rioba mchambuzi ''uso wa mbuzi". Tasnia ya habari ilililala pale,mzalendo wa kweli na mtetezi wa haki za wanahabari na wala habari

Leo hii ni Mkurugenzi wa TBC kawekwa na chama kwenye mfuko wa shati. Kimyaaaaa kama sio yeye.

Leo hii mwandishi anatiwa ndani na polisi Ayubu Rioba akiwa hana habari,sheria kandamizi inasainiwa na mteule wake sijawahi kumsikia hats akikohoa!

Hivi jamani ukiteuliwa na mtu usiye na imani naye ukakataaa utakuwa umevunja sheria ipi???Maana hii ni aibu kwa Mkurya,Yaaani Chacha anakuwa vile kweli

Inasikitisha sana

Nadhani wewe tatizo lako ulitaka upewe ukurugenzi tbc,sasa umekosa povu zimekua nyingi .
 
kalimbwane

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
710
1,000
Watoto wa kitaa tunasema mchawi mpe mwanao akulelee tuone kama atamroga

Nani anamkumbuka Rioba mchambuzi ''uso wa mbuzi". Tasnia ya habari ilililala pale,mzalendo wa kweli na mtetezi wa haki za wanahabari na wala habari

Leo hii ni Mkurugenzi wa TBC kawekwa na chama kwenye mfuko wa shati. Kimyaaaaa kama sio yeye.

Leo hii mwandishi anatiwa ndani na polisi Ayubu Rioba akiwa hana habari,sheria kandamizi inasainiwa na mteule wake sijawahi kumsikia hats akikohoa!

Hivi jamani ukiteuliwa na mtu usiye na imani naye ukakataaa utakuwa umevunja sheria ipi???Maana hii ni aibu kwa Mkurya,Yaaani Chacha anakuwa vile kweli

Inasikitisha sana
Chezea thithiemu wewe! Muulize harakaharaka kama anamoyo wa kuzungumzia katiba mpya ile ya Mzee wetu.thubutuuuu.wote wamewekwa mthokoni.
 
Say no to actors

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
638
1,000
Kuna mwingine naye anaitwa Polepole ati anatuaminisha kuna ccm mpya, hii nchi haiishi vituko na vichekesho, sijui hawa wapiga dili ni kina nani?

Hakuna tena cha kelele za katiba mpya wala serikali tatu, shenzi type njaa siyo mchezo.
Kuna mzee Warioba naye kapewa ulaji Pale SUA katiba mpya ndiyo imekwisha hivyo itabidi tuibuke damu changa na zinazotoka nje ya mfumo ili tudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
upendodaima

JF-Expert Member
May 23, 2013
4,029
2,000
Watoto wa kitaa tunasema mchawi mpe mwanao akulelee tuone kama atamroga

Nani anamkumbuka Rioba mchambuzi ''uso wa mbuzi". Tasnia ya habari ilililala pale,mzalendo wa kweli na mtetezi wa haki za wanahabari na wala habari

Leo hii ni Mkurugenzi wa TBC kawekwa na chama kwenye mfuko wa shati. Kimyaaaaa kama sio yeye.

Leo hii mwandishi anatiwa ndani na polisi Ayubu Rioba akiwa hana habari,sheria kandamizi inasainiwa na mteule wake sijawahi kumsikia hats akikohoa!

Hivi jamani ukiteuliwa na mtu usiye na imani naye ukakataaa utakuwa umevunja sheria ipi???Maana hii ni aibu kwa Mkurya,Yaaani Chacha anakuwa vile kweli

Inasikitisha sana
Chacha kageuka Hamiii(in Joti's voice).
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,087
2,000
Watoto wa kitaa tunasema mchawi mpe mwanao akulelee tuone kama atamroga

Nani anamkumbuka Rioba mchambuzi ''uso wa mbuzi". Tasnia ya habari ilililala pale,mzalendo wa kweli na mtetezi wa haki za wanahabari na wala habari

Leo hii ni Mkurugenzi wa TBC kawekwa na chama kwenye mfuko wa shati. Kimyaaaaa kama sio yeye.

Leo hii mwandishi anatiwa ndani na polisi Ayubu Rioba akiwa hana habari,sheria kandamizi inasainiwa na mteule wake sijawahi kumsikia hats akikohoa!

Hivi jamani ukiteuliwa na mtu usiye na imani naye ukakataaa utakuwa umevunja sheria ipi???Maana hii ni aibu kwa Mkurya,Yaaani Chacha anakuwa vile kweli

Inasikitisha sana
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako,kabla ya kuona kibanzi kwa mwenzio,!
Kuna watu walimwita lowassa fisadi lissu,mnyika,msigwa lema lakini leo wapo nae kamati kuu na wameufyata
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom