Dkt. Anthony Diallo afunguka aliyoyafanya Nyerere dhidi ya mtu anayesema hakufanya kitu, hata 5% ya Nyerere yeye hajafanya

Mliyataka wenyewe ,CCM ilikua inafanya maendeleo alafu upinzani wanakuja kusema hakuna kilichofanyika ,sasa tumeona kila kinachofanyika tuweke hadharani
Cha ajabu bado kwenye chaguzi ndogo, figisu kibao, mnaogopa nini sasa?!!
 
Anaandika Dr Anthony M. Diallo

Kabla ya kusoma makala hii nikwambie tu. Dr Anthony Mwandu Diallo alikuwa rafiki wa Mwalimu. Na wakati ule mwalimu alivyong’atuka Madarakani 1985 waliendelee kuwa marafiki akiwa Mwenyekiti wa CCM na hata alipoachia kiti cha CCM.

Na msiofahamu Dr Diallo mwaka 1995 alichaguliwa mbunge wa jimbo la Mwanza vijijini, na alipoingia Bungeni alikuwa katika kamati ya Fedha na Uchumi. Dr Diallo akiwa Makamu wa mwenyekiti wa kamati Marehemu Akukweti walifanya ziara kukagua miradi ya serikali na walienda Mwitongo, Butiama kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba ya Baba wa Taifa mbayo wakati ule mradi ule ulisimamiwa na JKT, na ulikwama kutokana na kukosekana kwa fedha!

Dr Diallo na wajumbe wake walivyorudi bungeni alishinikiza serikali itimize ahadi yake kwa kushika shilingi ya mshahara wa Waziri wa Fedha Prof Mbilinyi. Wizara ilibidi kuipatia JKT fedha kumaliza ujenzi huo.

Ndugu zangu hebu tufaidi huu uhondo wa hii makala kutoka kwa mtu mstaafu wa awamu mbili kama Waziri na rafiki wa Mwalimu; mtu aliyekuwa kijana sana wakati huo na mjenga hoja safi sana Bungeni akitumikia jimbo lake ambalo baadae lilijulikana kama Ilemela. Dr Diallo anatumikia Chama cha Mapinduzi kama Mwenyekiti wa Mkoa na amekaa ujumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kwa takribani miaka 17 sasa:

Tunapofanya kumbukizi kidogo niwakumbushe MAFANIKIO YA MWALIMU NYERERE
By Dr Anthony Diallo
CCM- Mkoa Mwanza!

1. TAZARA (SGR ya kwanza Afrika Mashariki na kati) aliijenga na Mwenzie Kaunda
2. RELI YA SINGIDA-MANYONI
3. Kiwanda cha Nyuzi Tabora
4. Viwanda 11 vya korosho
5. Viwanda 11 vya nguo
6. Kidatu, Mtera, Kihansi
7. Meli ...Bahari ya Hindi, Victoria, Nyasa
8. Ndege 14 za ATC
9. Vyuo Vikuu... Udsm, Mzumbe,SUA
10. Kuimarisha Mabasi ya Railway
11. Kampuni ya Usafiri jijini ya UDA
12. KAMPUNI YA MABASI YA TANZANIA.. KAMATA
13. mashamba ya Mifugo... Ranchi za taifa..Ruvu, morogoro, KongwA, N.K.
14. National parks 10
15. Vyuo kuwalipa Wanafunzi fedha za matumizi
16. Wanafunzi secondary kusafiri bure
17. Elimu ya watu wazima... 95%
18. Bugando Hosp, Kilimanjaro na Hoteli za kiatalii 14, Muhimbili Hosp Extension, KCMC
19. Vyuo vya Kilimo UYOLE, NALIENDELE, ILONGA, UKILIGURU,
20. Viwanda vya vifaa vya umeme. Kiwanda cha, baiskeli, matairi, vipuri vya magari, radio (Phillips na National)na betri.
22. Nyumbu trucks
23. Machine za kuchambua Pamba... Ginneries na viwanda vya kutengeneza vipuri vya ginneries;
24. Elimu bure tangu 1972 hadi 1990... Daftari, Kalamu, vitabu bure. Shule ya msingi hadi chuokikuu vikuu bure;
25. Huduma za afya bure
26. Mafanikio katika utamaduni na Michezo... Vikundi vya utamaduni na bendi kila mkoa
27. VYAMA vya ushirika wa mazao
28. Alijenga Umoja.... Hakujenga nyumba....alikopeshwa...; alijengewa na Jeshi
29. Aliheshimiwa duniani kote
30. Aliandika vitabu zaidi ya ishirini
31. Bodi za Mazao... Pamba, tumbaku, Korosho, kahawa
32. Gapex
33. Tanzania Elimu Supplies
34. Tanzania Publishing House
35. Tafico
36. Chuo cha Uvuvi Mbegani
37. Vyuo vya utalii na wanyama pori
38. Vyuo vya Kilimo, Tumbi, UYOLE, n.k.
39. Viwanda vya Kahawa na Mazulia
40. Secretarial colleges...Dar na Tabora
41. SHIRIKA LA TANESCO
42. Bwawa la Mindu
43. Kuimarisha Kiswahili kuwa lugha ya taifa
44. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
45, Muungano wa TANU na Afro Shiraz
46. Mbarali, Dakawa Rice farms
47. Kila kijiji kupewa trekta
48. Kila kijiji kupewa ng'ombe 20 wa kisasa
49. Tanganyika packers... Nyama
50. Kiwanda cha Coca-Cola Shinyanga
51. Mashamba ya zabibu
52. Dodoma wine
53. Moproco
54. Morogoro Canvas mill...the largest in Africa
55. Mgololo Paper Mill.. The largest in Africa
56. Kiwanda cha bia
57. Kilimo cha matunda Tanga
58. Chakula Bariadi... Kutengeneza Barafu za majumbani na viwandani
59. Saab scania - kibaha..kuunganisha scania
60. Chuo cha Posta, chuo cha Kodi, chuo cha Sukari,
61. Zana za Kilimo Mbeya
62. Shilingi iliyokuwa na thamani kubwa kukaribiana na dola na pauni.
63. Kiwanda cha Kibuku
64. Kiwanda cha Konyagi
64. MECCO
65. Kiwanda cha sigara
66. Kiwanda cha kuchapa vitabu na magazeti... Kiuta
67. Kampuni ya Fenicha
68. National Housing Corporation
69. STC... State Transport Corporation
70. Tanzania Tourism Corporation
71. Shihata
72. Shirika LA Posta na simu
73. Tangold

Hadi anastaafu Nyerere aliacha viwanda kama 500 vya umma, na mashirika... Achilia kampuni za watu binafsi...na viwanda vya vyama vya ushirika...na mengine mengi....

Alloyce Nyanda
Mtozi
nzur hiyo
 
But zaid ya 85% ya vyote ulivyotaja vilianzishwa na wakoloni, so Mwl. alivichukua baada ya uhuru. Lakin JPM anaanzisha yeye mwenyewe, na ni miradi mikubwa sana ambayo kama una moyo mwepesi huwez kuwa na uthubutu. Kwakweli Mr John Pombe anastahili pongezi jmn
 
Nyerere ksongoza miaka 25, Kikwete 10, Mkapa 10, kwaiyo kwa mwendo wa magufur akimaliza miaka10, watangulizi wake watakosa pakujifisha.
 
Huwezi kumfananisha Nyerere kipindi chake, mazingira ya kupata uhuru na mazingira ya sasa. Hivi Huyu Jiwe kama angekuwa ndio kiongozi wa TANU kipindi kile kweli angeweza ongoza mapambano mpaka tukapata uhuru bila ya kumwaga damu. Nyerere alichapa lugha na Wazungu mpaka kikaeleweka. Sasa huyu na kiswahili chake angetufikisha wapi?
 
halafu kuna mtu anajigamba yeye ndio kila kitu,waliotangulia hakuna walichofanya na hata wajao hawataweza kufanya kama alivyofanya yeye,kuna group la whatsapp nimeicopy na naipaste hapa aliyoyafanya JM Kikwete.

Mambo "kiduchu" aliyofanya Jakaya;

1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Hawa wanaomtukana na kusema kuwa hakufanya chochote zaidi ya wizi na ufisadi walikuwa wanaishi nchi gani?

Hivi huyo wanaemtukuza amefanya jambo gani kubwa linalofikia hata robo ya mkubwa aliyoyafanya Kikwete?

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

👉Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha watz kwa pamoja bila kujali vyama vyao tofautu na sasa ambapo mpinzan anaonekana kama adui.
Nalog off
"PARAPANDA INALIA PARAPANDA! PARAPANDA INALIA PARAPANDA!" Kelele miingi utadhani wazinzi wanafika kileleni.
 
But zaid ya 85% ya vyote ulivyotaja vilianzishwa na wakoloni, so Mwl. alivichukua baada ya uhuru. Lakin JPM anaanzisha yeye mwenyewe, na ni miradi mikubwa sana ambayo kama una moyo mwepesi huwez kuwa na uthubutu. Kwakweli Mr John Pombe anastahili pongezi jmn
Anaanzisha wapi wewe? yeye anamalizia kupitia wataalamu na siasa safi walizoacha wenzake, japo anazichafua chafua (misingi ya maendeleo alioweka Nyerere ndio inayombeba. Sio mbaya lakini hatoweza lingana na Nyerere
 
Kwa miaka mingapi alifanya hivyo ?jr nas tumpe JPMmuda kama huo ili tupate fair comparison na tufute vyama pinga pinga ili awe na absolute power bungeni kuweka mazingira sawa na ya JKN kipind cha chama kimoja!
Tumerogwa!
 
Inamaana kaanza la kwanza mpaka lasaba wakati wa jpm au?
Hiyo elimu bure mie na choka kuna majengo ya shule watoto wetu wanaenda kutembea hawalipi kitu na hakuna kitu mtu ansmaliza darasa la Saba hajui kusoma na kuandika hiyo ndiyo elimu bure
 
80% ya hvyo waliviacha wakoloni, lakn ndo mana anaitwa Baba wa taifa hata JPM analijua, tukiacha na hayo mengine Jiwe anapiga kazi hasa...mda wake ukifika atawaachia nchi yenu, Ila jamaa ni jembe..!!
Siyo kweli; nadhani katika list hiyo wakoloni asilimia kumi tu. Hawakuacha kiwanda chochote Morogoro, Tabora, Mwanza, Musoma, Arusha, Tanga, na mikoa mingine mingi.
 
halafu kuna mtu anajigamba yeye ndio kila kitu,waliotangulia hakuna walichofanya na hata wajao hawataweza kufanya kama alivyofanya yeye,kuna group la whatsapp nimeicopy na naipaste hapa aliyoyafanya JM Kikwete.

Mambo "kiduchu" aliyofanya Jakaya;

1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Hawa wanaomtukana na kusema kuwa hakufanya chochote zaidi ya wizi na ufisadi walikuwa wanaishi nchi gani?

Hivi huyo wanaemtukuza amefanya jambo gani kubwa linalofikia hata robo ya mkubwa aliyoyafanya Kikwete?

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

👉Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha watz kwa pamoja bila kujali vyama vyao tofautu na sasa ambapo mpinzan anaonekana kama adui.
Nalog off

Kujimwambafy walianza wanamtandao, kila mara Dr Kikwete, Dr Dr Dr. misifa lukiki
 
Anaandika Dr Anthony M. Diallo

Kabla ya kusoma makala hii nikwambie tu. Dr Anthony Mwandu Diallo alikuwa rafiki wa Mwalimu. Na wakati ule mwalimu alivyong’atuka Madarakani 1985 waliendelee kuwa marafiki akiwa Mwenyekiti wa CCM na hata alipoachia kiti cha CCM.

Na msiofahamu Dr Diallo mwaka 1995 alichaguliwa mbunge wa jimbo la Mwanza vijijini, na alipoingia Bungeni alikuwa katika kamati ya Fedha na Uchumi. Dr Diallo akiwa Makamu wa mwenyekiti wa kamati Marehemu Akukweti walifanya ziara kukagua miradi ya serikali na walienda Mwitongo, Butiama kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba ya Baba wa Taifa mbayo wakati ule mradi ule ulisimamiwa na JKT, na ulikwama kutokana na kukosekana kwa fedha!

Dr Diallo na wajumbe wake walivyorudi bungeni alishinikiza serikali itimize ahadi yake kwa kushika shilingi ya mshahara wa Waziri wa Fedha Prof Mbilinyi. Wizara ilibidi kuipatia JKT fedha kumaliza ujenzi huo.

Ndugu zangu hebu tufaidi huu uhondo wa hii makala kutoka kwa mtu mstaafu wa awamu mbili kama Waziri na rafiki wa Mwalimu; mtu aliyekuwa kijana sana wakati huo na mjenga hoja safi sana Bungeni akitumikia jimbo lake ambalo baadae lilijulikana kama Ilemela. Dr Diallo anatumikia Chama cha Mapinduzi kama Mwenyekiti wa Mkoa na amekaa ujumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kwa takribani miaka 17 sasa:

Tunapofanya kumbukizi kidogo niwakumbushe MAFANIKIO YA MWALIMU NYERERE
By Dr Anthony Diallo
CCM- Mkoa Mwanza!

1. TAZARA (SGR ya kwanza Afrika Mashariki na kati) aliijenga na Mwenzie Kaunda
2. RELI YA SINGIDA-MANYONI
3. Kiwanda cha Nyuzi Tabora
4. Viwanda 11 vya korosho
5. Viwanda 11 vya nguo
6. Kidatu, Mtera, Kihansi
7. Meli ...Bahari ya Hindi, Victoria, Nyasa
8. Ndege 14 za ATC
9. Vyuo Vikuu... Udsm, Mzumbe,SUA
10. Kuimarisha Mabasi ya Railway
11. Kampuni ya Usafiri jijini ya UDA
12. KAMPUNI YA MABASI YA TANZANIA.. KAMATA
13. mashamba ya Mifugo... Ranchi za taifa..Ruvu, morogoro, KongwA, N.K.
14. National parks 10
15. Vyuo kuwalipa Wanafunzi fedha za matumizi
16. Wanafunzi secondary kusafiri bure
17. Elimu ya watu wazima... 95%
18. Bugando Hosp, Kilimanjaro na Hoteli za kiatalii 14, Muhimbili Hosp Extension, KCMC
19. Vyuo vya Kilimo UYOLE, NALIENDELE, ILONGA, UKILIGURU,
20. Viwanda vya vifaa vya umeme. Kiwanda cha, baiskeli, matairi, vipuri vya magari, radio (Phillips na National)na betri.
22. Nyumbu trucks
23. Machine za kuchambua Pamba... Ginneries na viwanda vya kutengeneza vipuri vya ginneries;
24. Elimu bure tangu 1972 hadi 1990... Daftari, Kalamu, vitabu bure. Shule ya msingi hadi chuokikuu vikuu bure;
25. Huduma za afya bure
26. Mafanikio katika utamaduni na Michezo... Vikundi vya utamaduni na bendi kila mkoa
27. VYAMA vya ushirika wa mazao
28. Alijenga Umoja.... Hakujenga nyumba....alikopeshwa...; alijengewa na Jeshi
29. Aliheshimiwa duniani kote
30. Aliandika vitabu zaidi ya ishirini
31. Bodi za Mazao... Pamba, tumbaku, Korosho, kahawa
32. Gapex
33. Tanzania Elimu Supplies
34. Tanzania Publishing House
35. Tafico
36. Chuo cha Uvuvi Mbegani
37. Vyuo vya utalii na wanyama pori
38. Vyuo vya Kilimo, Tumbi, UYOLE, n.k.
39. Viwanda vya Kahawa na Mazulia
40. Secretarial colleges...Dar na Tabora
41. SHIRIKA LA TANESCO
42. Bwawa la Mindu
43. Kuimarisha Kiswahili kuwa lugha ya taifa
44. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
45, Muungano wa TANU na Afro Shiraz
46. Mbarali, Dakawa Rice farms
47. Kila kijiji kupewa trekta
48. Kila kijiji kupewa ng'ombe 20 wa kisasa
49. Tanganyika packers... Nyama
50. Kiwanda cha Coca-Cola Shinyanga
51. Mashamba ya zabibu
52. Dodoma wine
53. Moproco
54. Morogoro Canvas mill...the largest in Africa
55. Mgololo Paper Mill.. The largest in Africa
56. Kiwanda cha bia
57. Kilimo cha matunda Tanga
58. Chakula Bariadi... Kutengeneza Barafu za majumbani na viwandani
59. Saab scania - kibaha..kuunganisha scania
60. Chuo cha Posta, chuo cha Kodi, chuo cha Sukari,
61. Zana za Kilimo Mbeya
62. Shilingi iliyokuwa na thamani kubwa kukaribiana na dola na pauni.
63. Kiwanda cha Kibuku
64. Kiwanda cha Konyagi
64. MECCO
65. Kiwanda cha sigara
66. Kiwanda cha kuchapa vitabu na magazeti... Kiuta
67. Kampuni ya Fenicha
68. National Housing Corporation
69. STC... State Transport Corporation
70. Tanzania Tourism Corporation
71. Shihata
72. Shirika LA Posta na simu
73. Tangold

Hadi anastaafu Nyerere aliacha viwanda kama 500 vya umma, na mashirika... Achilia kampuni za watu binafsi...na viwanda vya vyama vya ushirika...na mengine mengi....

Alloyce Nyanda
Mtozi
Aiseeeee
 
Back
Top Bottom