Dkt. Abbas: Ndege tunanunua na huduma za kijamii tunawekeza fedha za kutosha, wanunaji waendelee kununa

Sijui kwa nini Mh Samia amemrudisha huyu jamaa
Mama ana busara ya kipekee sababu huwezi kumuondoa kibaraka wa mtangulizi wako mapema kabla unayetegemea kumpa ile nafasi kujifunza yaliyomo ndani na angefanya hivyo kungetokea mtikiso mkubwa ndani ya serikali yake. Vuta subira huyo ataondoka tu hapo na wapo baadhi pia wataondolewa na kubaki na ubunge
 
Back
Top Bottom