Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 841
Kukosoa lugha ya kuongea?
Hivi mtu akichapia kuongea Kiswahili hushikiwa bango kama hivi?

Hopeless!!Kukosoa lugha ya kuongea?
Hivi mtu akichapia kuongea Kiswahili hushikiwa bango kama hivi?
We jamaa wa ajabu sana. Sasa mtu anakuja na maoni yake wewe unamwita hopeless. Ilikuwa vema basi ungebaki na uzi wako nyumbani lakini siyo kuuleta public kwa watu ambao kwa asili wana haki na wako huru kutoa maoni namna waonavyo inafaa kuwa.Hopeless!!
Sasa kulikuwa na Haja gani huyo Dr.abbas kuongea lugha ambayo haifahamu vizuri si angeongea kiswahili tuu au alilazimishwa?Cha msingi ni kuelewa msemaji anamaanisha nini
Wahindi kiswahili hawakijui vizuri lakini tunaelewana nao bila shida wakiongea
Cha msingi kueleweka tu unamaanisha nini mfano unaomba maji unaweza sema water bring
Hakuna haja ya kukesha ukikariri kunyoosha sentensi
Duh, umerusha jiwe gizani. Uzuri limempata (Dr. !!!) Abbas huko alipo.Jana jioni wakati nikisikiliza Kipindi cha BBC Dira ya Dunia ( kama kawaida yangu ) nilishtushwa kidogo nilipoisikia 'insert' ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari 'Mwanazuoni' Dkt. Hassan Abbas na 'Kiingereza' alichokitumia.
Wakati akizungumza kuhusiana na Masuala ya Habari, Wadau wa Habari huku akikaribisha Maoni ya Mabadiliko ya Kisera katika Wizara yake hiyo ndipo 'akachomekea' na Kiingereza chake hicho ili kuwadhihirishia Watu kuwa amesoma na hiyo 'Doctorate' yake hakuipata Kimakosa na hata huko Ulaya hadi Marekani ameishi vile vile.
Kiingereza chenyewe alichokisema ni hiki nakinukuu hapa..." A lot of reforms is going on now in our Ministry " mwisho wa Kumnukuu Msomi wa PhD Hassan Abbas.
Hivyo basi leo nawaomba wana JF wote ( ambao nawakubali sana kwa Kujua Kiingereza vyema ) japo nikiri tu kuwa GENTAMYCINE sikijui kabisa mnisaidie ni Sentensi ipi bora ( hasa Grammatically ) kati ya hizi zifuatazo.....
1. A lot of reforms is going on now in our Ministry
2 There has been a lot of reforms going on in our Ministry
3. A lot of reforms are going on now in our Ministry
4. There are lots of reforms going on now in the Ministry
Najua Wasomi Nguli ( Intellectuals ) hapa JamiiForums hamtaniangusha GENTAMYCINE katika Kunichagulia Kiingereza sahihi kabisa ( Grammatically ) kati ya Sentensi Nne hapo ( hapa ) juu.
Hakuna Lugha niipendayo duniani ( Ulimwenguni ) kama Kiswahili na hakuna Lugha ambayo huwa naipenda Kuisikia kwa Mtu akiiongea vizuri ( japo hata siijui ) kama ya Kiingereza na hakuna pia Lugha ambayo siipendi Mtu aikosee Kuizungumza kwa 'Kuishobokea' hata kama ( siijui ) kama ya Kiingereza.
Karibuni nyote mnifundishe Kiingereza.
Mimi ningesema: Currently, a lot of reforms are ongoing in the Ministry. Ila cha msingi awe ameeleweka.Jana jioni wakati nikisikiliza Kipindi cha BBC Dira ya Dunia ( kama kawaida yangu ) nilishtushwa kidogo nilipoisikia 'insert' ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari 'Mwanazuoni' Dkt. Hassan Abbas na 'Kiingereza' alichokitumia.
Wakati akizungumza kuhusiana na Masuala ya Habari, Wadau wa Habari huku akikaribisha Maoni ya Mabadiliko ya Kisera katika Wizara yake hiyo ndipo 'akachomekea' na Kiingereza chake hicho ili kuwadhihirishia Watu kuwa amesoma na hiyo 'Doctorate' yake hakuipata Kimakosa na hata huko Ulaya hadi Marekani ameishi vile vile.
Kiingereza chenyewe alichokisema ni hiki nakinukuu hapa..." A lot of reforms is going on now in our Ministry " mwisho wa Kumnukuu Msomi wa PhD Hassan Abbas.
Hivyo basi leo nawaomba wana JF wote ( ambao nawakubali sana kwa Kujua Kiingereza vyema ) japo nikiri tu kuwa GENTAMYCINE sikijui kabisa mnisaidie ni Sentensi ipi bora ( hasa Grammatically ) kati ya hizi zifuatazo.....
1. A lot of reforms is going on now in our Ministry
2 There has been a lot of reforms going on in our Ministry
3. A lot of reforms are going on now in our Ministry
4. There are lots of reforms going on now in the Ministry
Najua Wasomi Nguli ( Intellectuals ) hapa JamiiForums hamtaniangusha GENTAMYCINE katika Kunichagulia Kiingereza sahihi kabisa ( Grammatically ) kati ya Sentensi Nne hapo ( hapa ) juu.
Hakuna Lugha niipendayo duniani ( Ulimwenguni ) kama Kiswahili na hakuna Lugha ambayo huwa naipenda Kuisikia kwa Mtu akiiongea vizuri ( japo hata siijui ) kama ya Kiingereza na hakuna pia Lugha ambayo siipendi Mtu aikosee Kuizungumza kwa 'Kuishobokea' hata kama ( siijui ) kama ya Kiingereza.
Karibuni nyote mnifundishe Kiingereza.
Umejibu swali la ngapi vile?Lots of versus A lot of,
Umetunga sentensi yako tofauti na ile ya mwanzisha-mada.Yupo sahihi kabisa gramatically ukishasema neno 'a lot' huwezi ukaweka neno 'are', a lot is used for uncountable objects ila ukitumia neno 'many' ndio unaweka 'are' kwa kuwa hutumika kwa vitu vinavyohesabika au 'countable objects'. Kwa mfano "There is a lot of noise outside' na 'There are many people in the office'.
Vijana mjifunze kiingereza sio kukosoa wenzenu, i rest my case!
There are a lot of people. If what follows "a lot" can be counted, it is considered plural. If what follows "a lot" cannot be counted, it is singular.Yupo sahihi kabisa gramatically ukishasema neno 'a lot' huwezi ukaweka neno 'are', a lot is used for uncountable objects ila ukitumia neno 'many' ndio unaweka 'are' kwa kuwa hutumika kwa vitu vinavyohesabika au 'countable objects'. Kwa mfano "There is a lot of noise outside' na 'There are many people in the office'.
Vijana mjifunze kiingereza sio kukosoa wenzenu, i rest my case!
2 HAPANA kwa maoni ya ijapokuwa hata mm nakidandia tu .neno alot halafu reforms naona kidogo kuna ukakasi lkn namba 4 naona iko vzr lkn haya ni maoni yangu tu wako manguli wa hiyo lugha humu ndani kama akina Paskal Mayala wao walisoma HGL pale Ilboru watatusaidia.Zote sawa tu, ilimradi ameeleweka.
Jana jioni wakati nikisikiliza Kipindi cha BBC Dira ya Dunia ( kama kawaida yangu ) nilishtushwa kidogo nilipoisikia 'insert' ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari 'Mwanazuoni' Dkt. Hassan Abbas na 'Kiingereza' alichokitumia.
Wakati akizungumza kuhusiana na Masuala ya Habari, Wadau wa Habari huku akikaribisha Maoni ya Mabadiliko ya Kisera katika Wizara yake hiyo ndipo 'akachomekea' na Kiingereza chake hicho ili kuwadhihirishia Watu kuwa amesoma na hiyo 'Doctorate' yake hakuipata Kimakosa na hata huko Ulaya hadi Marekani ameishi vile vile.
Kiingereza chenyewe alichokisema ni hiki nakinukuu hapa..." A lot of reforms is going on now in our Ministry " mwisho wa Kumnukuu Msomi wa PhD Hassan Abbas.
Hivyo basi leo nawaomba wana JF wote ( ambao nawakubali sana kwa Kujua Kiingereza vyema ) japo nikiri tu kuwa GENTAMYCINE sikijui kabisa mnisaidie ni Sentensi ipi bora ( hasa Grammatically ) kati ya hizi zifuatazo.....
1. A lot of reforms is going on now in our Ministry
2 There has been a lot of reforms going on in our Ministry
3. A lot of reforms are going on now in our Ministry
4. There are lots of reforms going on now in the Ministry
Najua Wasomi Nguli ( Intellectuals ) hapa JamiiForums hamtaniangusha GENTAMYCINE katika Kunichagulia Kiingereza sahihi kabisa ( Grammatically ) kati ya Sentensi Nne hapo ( hapa ) juu.
Hakuna Lugha niipendayo duniani ( Ulimwenguni ) kama Kiswahili na hakuna Lugha ambayo huwa naipenda Kuisikia kwa Mtu akiiongea vizuri ( japo hata siijui ) kama ya Kiingereza na hakuna pia Lugha ambayo siipendi Mtu aikosee Kuizungumza kwa 'Kuishobokea' hata kama ( siijui ) kama ya Kiingereza.
Karibuni nyote mnifundishe Kiingereza.
It means, kwa mtu aliyezoea kunywa ngeli kama Dkt. Abbas
Umejibu swali la ngapi vile?
You started it, what are miner grammatical errors?Miner grammatical errors are allowed when we speak than when we write. Kweli cha muhimu kaeleweka.
Namba 2, 3 na nne zote ni sahihi lkn 2 ni nzuri zaidiJana jioni wakati nikisikiliza Kipindi cha BBC Dira ya Dunia ( kama kawaida yangu ) nilishtushwa kidogo nilipoisikia 'insert' ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari 'Mwanazuoni' Dkt. Hassan Abbas na 'Kiingereza' alichokitumia.
Wakati akizungumza kuhusiana na Masuala ya Habari, Wadau wa Habari huku akikaribisha Maoni ya Mabadiliko ya Kisera katika Wizara yake hiyo ndipo 'akachomekea' na Kiingereza chake hicho ili kuwadhihirishia Watu kuwa amesoma na hiyo 'Doctorate' yake hakuipata Kimakosa na hata huko Ulaya hadi Marekani ameishi vile vile.
Kiingereza chenyewe alichokisema ni hiki nakinukuu hapa..." A lot of reforms is going on now in our Ministry " mwisho wa Kumnukuu Msomi wa PhD Hassan Abbas.
Hivyo basi leo nawaomba wana JF wote ( ambao nawakubali sana kwa Kujua Kiingereza vyema ) japo nikiri tu kuwa GENTAMYCINE sikijui kabisa mnisaidie ni Sentensi ipi bora ( hasa Grammatically ) kati ya hizi zifuatazo.....
1. A lot of reforms is going on now in our Ministry
2 There has been a lot of reforms going on in our Ministry
3. A lot of reforms are going on now in our Ministry
4. There are lots of reforms going on now in the Ministry
Najua Wasomi Nguli ( Intellectuals ) hapa JamiiForums hamtaniangusha GENTAMYCINE katika Kunichagulia Kiingereza sahihi kabisa ( Grammatically ) kati ya Sentensi Nne hapo ( hapa ) juu.
Hakuna Lugha niipendayo duniani ( Ulimwenguni ) kama Kiswahili na hakuna Lugha ambayo huwa naipenda Kuisikia kwa Mtu akiiongea vizuri ( japo hata siijui ) kama ya Kiingereza na hakuna pia Lugha ambayo siipendi Mtu aikosee Kuizungumza kwa 'Kuishobokea' hata kama ( siijui ) kama ya Kiingereza.
Karibuni nyote mnifundishe Kiingereza.
Zote sawa tu, ilimradi ameeleweka.