Elections 2010 Dk. yupo tayari waseme suu!

Brodang

Member
Oct 30, 2010
13
0
Nipo tayari kutaja majina ya mahafisa usalama waliohusika katika kuvuruga uchaguzi kama majina hayo yatahitajika mahakamani-dk.Slaa azungumza akiwa Dodoma
 
Nipo tayari kutaja majina ya mahafisa usalama waliohusika katika kuvuruga uchaguzi kama majina hayo yatahitajika mahakamani-dk.Slaa azungumza akiwa Dodoma

Kesi ilishafunguliwa? najua CDM wakilikomalia uchaguzi lazima utaitishwa. Viva CDM viva Dr. Slaa!!!!!!!!!!!!!
 
Nipo tayari kutaja majina ya mahafisa usalama waliohusika katika kuvuruga uchaguzi kama majina hayo yatahitajika mahakamani-dk.Slaa azungumza akiwa Dodoma

Mimi ninae mmoja aliyeshiriki kuchakachua . yani inauma sana....
 
i quit that one,nadhani na mimi nimechoka kusikia hadithi nasubiri kuona mambo yakienda kwa vitendo
 
shujaaa haogopi na hawa mafisadi hawawezi kumpa ruhusa ya kufichua uovu wao maana wanajua wataumbuka
 
sources/evidence ya hii habari tafadhali!!!!!

Source nenda kwa slaa umeambiwa yuko dodoma na wewe unataka Source...ndo nyie maendeleo yetu eti Source...RA unaambiwa ni fisadi umemuona akifisadi?

Fikiria mbele kaka hii 2010 sio 1960 kabla ya uhuru
 
i quit that one,nadhani na mimi nimechoka kusikia hadithi nasubiri kuona mambo yakienda kwa vitendo

Dk. anapaswa kuchukua hatua ya kuweka wazi upupu huu ili watanzania wapenda mabadiliko tujue namna ya kukabiliana nao. Hawa ni wahaini kwa mtazamo wangu kwa kutenda kazi kinyume na maadili yao lakini kuchukua jukumu la kuharibu usalama wa taifa. Dr. wataje bana...maana wakubwa wao wameshakuzodoa kwamba wa mbwatukaji tu na huna lolote. Hapo ndo mwanzo wa kuwa Shujaa wa Mbadiliko katika Tz yetu. Tutakuweka VIP ya ukombozi wa bongo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom