Dk. Willem Jacobs: Hatutakiuka makubaliano yoyote tuliyoweka na Tanzania katika malipo

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Leo uongozi wa juu wa Barrick Mines Tanzania umepata fursa ya kukutana na Mheshimiwa rais Magufuli na kueleza yaliyo moyoni mwao,

moja ya mambo ambayo wameeleza ni kumshukuru Magufuli kwa msimamo wake usiotetemeshwa na mabeberu pia na nia yake ya dhati katika kuwaletea maendeleoa watanzania wa hali ya chini,

akaendelea kueleza kwamba hakutakuwa na mabadiriko yoyote katika makubaliano ya awali,
1.300 USD millions watazilipa
2.Mgawanyo wa asilimia 50 kwa 50 katika faida kama ilivyoelezwa hapo awali,
WhatsApp Image 2019-02-20 at 15.22.33.jpeg
 
20 February 2019 23:20

(Reuters) – Canadian miner Barrick Gold on Wednesday outlined a plan to settle disputes between its Acacia Mining unit and Tanzania's government, which includes a $300 million payment to resolve tax claims in the East African country.
London-listed Acacia and Tanzania's government have engaged in a prolonged dispute over tax evasion, breach of environmental regulations and other issues.
Barrick, which owns a 63.9 percent stake in Acacia, also proposed to create a local operating company in Tanzania and share economic benefits from Acacia's operations with the Tanzanian government on a 50-50 basis.
"Significant amounts of real value have been destroyed by this dispute and, in Barrick's view, this proposal will allow the business to focus on rebuilding its mining operations in partnership with their respective stakeholders," Barrick Chief Executive Officer Mark Bristow said in a statement.
The proposal, which Barrick and Tanzania's government arrived at together, will soon be presented to Acacia's independent directors.
Acacia's shares rose 4.4 percent to 235 pence on the London Stock Exchange following Barrick's announcement.


(Reporting by John Benny in Bengaluru; Editing by Sai Sachin Ravikumar) ((John.Benny@thomsonreuters.com; +1 646-223-8780; Reuters Messaging: John.Benny.thomsonreuters.com@reuters.net)
 
Hii ni habari njema, ila kwa mujibu wa taarifa hii, the settlement is inayozungumziwa hapa ni settlement ya yale makubaliano ya kile kishika uchumba cha US $ 300 milioni za goodwill, sasa ndio zimegeuzwa kifuta machozi kufidia zile dola bilioni 191 zetu!, hapa tumepigwa!. Tuliokuwa tunasubiri Noah zetu, tuandike maumivu.

Kwenye kuunda Kampuni mpya, hili ni jema, lakini la kugawana 50/50 economic benefits badala ya faida profits kama tulivyo elezwa mwanzo, pia ni tumepigwa.

Kwa vile ahadi hiyo ilikuwa ni unconditional kuonyeshea goodwill, na hapa kati yamesemwa mengi, Barrick ili waonyeshe they are gentlemen, wasinge ongea chochote kabla ya kukabidhi kishika uchumba chetu, ndipo mengine yote yafuate.

P
 
Back
Top Bottom