"Dk. Slaa" uvaaji gani huu?!

Status
Not open for further replies.

ngurdoto

Member
Aug 19, 2010
58
23
Huu ni uvaaji gani wa KOTI jamani, nawasilisha

 

Attachments

  • 007.JPG
    007.JPG
    57.9 KB · Views: 3,324
Hapa watu tunaangalia busara zaidi kuliko u handsome, kwani ingekuwa ni sura nafikiri Kibaki asingepata hata theruthi ya kura.
 
Wewe unajua hilo kabila lake yaani kuvaa ni hawajui kabisa.Hata usafi ndo kabisa sema huyu kwa sababu yupo mjini ndo anaiga watu wa mjini wanavyoishi samahani kwa kusema ukweli.
 
hahahah! honestly as much as i like Slaa dah hii nguo ni oversize, na nilicheka sana mpaka niliposoma comment ya Bujibuji ndo nikaona dah.. kumbe si mambo ya kucheka, im taking my laughter back!
 
Nimekumbuka semina elekezi ngurudoto arusha nilielekezwa mpaka uvaaji wa mavazi

Tatizo ni kwamba mlizingatia zaidi uvaaji mkasahau mambo ya msingi kama uwajibikaji nk. ndo maana mnajua kuvaa lakini mnakula na kutoa rushwa kama hamna akili nzuri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom