Dk Slaa: Tuhuma za Lwakatare kuteka waandishi zimepikwa

Nakubaliana na wewe kwamba ni kweli video inasema amepewa "assignment" nakubali pia intuition yako kwamba inaweza kua mipango yake binafsi na sio ya chama ama ikawa ni ya chama- kitu ambacho kama itathibitika kua hivyo nitakilaani kwa uwezo wangu wote, kwakua hakiendani na iliyo mikakati ya CHADEMA katika kupigania haki., lakini nadhani kabla hatuja fika huko bado iko haja ya kujiridhisha si tu kwamba video hii ni authentic au ya kweli haija undwa lakini pia kama yaliyokua yakizungumzwa kwenye video hiyo hata kama video hiyo ni halisi yalikua yakielekezwa katika utekaji wa Ng. Kibanda? kwakua kama nilivyo sema video hii bado iko vague sana., kwanza iko robo, halafu haitoi hasa mantic ya kurecodiwa kwake hata content yake haija kamilika., haitaji utekwaji wa kibanda wala jina lolote., labda niseme tu kazi hii tuiachie polisi, ambao wame kua trained kukabili mambo kama haya na kutafuta ukweli ulipo jificha, kama wataifanya kazi hiyo pasipo kuingiliwa na nguvu nyingine yoyote,.. inawezekana Lwakatare akwa na hatia., lakini ni mapema mno kuamua hivyo!

Katika nchi za wenzetu zenye uhuru na uwazi hii video ni aibu kubwa sana kwa chama cha cdm,hii video iko wazi sana Mkuu,Huyu jamaa inaonesha kamuamini sana huyu anaezungumza nae,cha kujiuiliza kwanini haya mazungumzo wameyarikodi,au karekodiwa bila ya kujua?

kama karekodiwa bila ya kujijua kwahiyo mbaya wake anamjua
 
Ili kesi iwe halali aliyeweka hiyo video ajitokeze! Bila hivyo, hayo ni mazingaombwe yanachezwa!!
 
Nimejifunza kitu humu ndani watu wengine wanaacha kujadili hoja yenyewe, na kuanza kurukia mengine lengo lake nini?hapa tujadili kutokana na kile tulichonacho mkononi na si historia msingi wa mazungumzo uwe lwakatare na hili Saga,lakini si itikadi vinginevyo basi ingelikuwa mtuhumiwa ni chama lakini hapa aliyeshikiliwa ni Wilfred Lwakatare, tujiulize alikuwa anazungumzia nini na kwanini, alikuwa anazungumza na nani yeye atasema, pia suala la amzingira kwani nani asiyejua kuwa siku hizi watu wanajadili mambo katika mahala ambapo huwezi amini, yaani mazingira ya wazi, hapa watu wasitutoe kwenye mada na kuleta historia na mitizamo,suala hapa ni hili
 
Kulikua na post za akina Tuntemeke humu za mwezi December na january wakisema mbivu na mbichi zitajulikana mwezi march.Sasa sijui walielewa mchakato wa kupika hii videa ama walimaanisha nini

Tukuulize wewe mtaalam wa ujasusi unaweza ukawa na detail zaid yetu.
 
Hahahahahaha
hivi unajua maaana ya mahakama?
Let me tell you katika hili polisi watashindwa! Kwanza tutawapa kazi ya kutuletea kipande cha mwanzo na cha mwisho maana hii hiko nusu na hili ukweli uwe wazi lazima clip nzima iwepo! Sasa kama mlichonga bila kufikiri kazi mnayo!
Cc Mwigulu Nchemba

Chini ya kiwango sana..
 
Kuipata Tanzania mpya nakufananisha na kiumbe kipya kinachokuja (kuzaliwa) duniani, hakika haiwi kazi rahisi kwa mleta hicho kiumbe (mama) uchungu wa hali ya juu lazima umkabili huyo mzazi, CHADEMA msikate tamaa hayo ndio machungu ya kutaka kuleta ukombozi wa Nchi hii.
Mifano ya waliopata uchungu kabla hawajafikia malengo yao ya ukombozi ni mingi ila nitatoa miwili mmoja ni wa Mzee Nelson Mandela, kila mtu anajua jinsi Makaburu walivyokuwa wakimbambikia kesi lakini mwisho wake kila mtu anauona, mfano wa pili ni juhudi za Yesu katika kuijulisha dunia ukuu wa Mungu (hili wakristo mnalijua zaidi) kilichompata pale msalabani ni aibu tupu, lakini leo ni furaha tele na aibu kwa watesi wake, so CHADEMA tegemeeni lolote huku mkisonga mbele, jamii imeshaelewa tofauti yenu na CCM, wanataka wabaki madarakani milele kama wanavyojinadi katika mikutano yao na kwa kauli hii ni wazi hawa watu hawana nia njema na Nchi hii.
 
Katika nchi za wenzetu zenye uhuru na uwazi hii video ni aibu kubwa sana kwa chama cha cdm,hii video iko wazi sana Mkuu,Huyu jamaa inaonesha kamuamini sana huyu anaezungumza nae,cha kujiuiliza kwanini haya mazungumzo wameyarikodi,au karekodiwa bila ya kujua?

kama karekodiwa bila ya kujijua kwahiyo mbaya wake anamjua

Yes! Yes., hilo ni swali la msingi., na detective yeyote atakae pewa case hii lazima atatafuta kujua rationale ya ku record mikakati ya kufanya uhalifu tena wakiwa wanafahamu kabisa (ofcourse kama anamaanisha kazi) lakini lazima iko siri flani hapo., kama wewe ni layer ukifika hapo unaandika issue no.1!., nahapa panahitaji cross examination of witnesses!
 
Mipango apange Rwakatale watekeleze police,mh mh hapa hata kijana wa divison zero ya kawambwa atakucheka!!!!!Time will Tell and this will be overcomed also!!!
 
hii kitu waipeleke haraka mahakamani, ili mbivu na mbichi ijulikane, yaani chama cha upinzani kianze kuwauwa waandishi wa habari? kwa lipi hasa walilofanya?

Chama kinachotaka kuingia madarakani, chama kinachotaka kuwakomboa wananchi kianze kuua waandishi wa habari? aisee hii kitu ukifikiria kwa makini utaona kuna magepu mengi sana kwenye hili dili -- loop holes kibao.

Msihofu: Ngoma ikifika mahakamani kuna softwares zinaweza kabisa kungamua kwamba hiyo video ni ya ukweli au mtu kachomeka maneno. hapa ndipo watu wataumbuka unless mahakama ikatae ushahidi kwa namna hiyo utumike.
INAWEZEKANA KAMA HAO WAANDISHI WANA SIRI ZA USHINDI AU ZOZOTE MBAYA za HICHO CHAMA KINACHOTAKA KUINGIA MADARAKANI
 
huwa nasema daima kuwa humu ndani kuna watu wanaamini kila asemacho slaa hata kama hakina ukweli au ni kwa nia ya kujisafisha tu. ona sasa huyu mbumbumbu sijui mwelekeo wake uko wapi

mbumbumbu ni wewe na familia yako ambao akili zenu zimeshikiliwa Lumumba. Mkuu hilo liko wazi magambaz mkisikia jina la Dr.Slaa mnachanganyikiwa; Subiri vipimo huyo ndo rais mtarajiwa sijui mtapitia wapi ifikapo 2015.
 
Atakuwa anahusika Tu polisi hawalurupuki kweny ishu nyeti kama hizo
Chagonja,IGP,Nchimbi wote walidanganya kifo cha mwangosi video ya wapiga picha maridhawa waandishi wa habari wazalendo wakawaumbuwa kweupe hatuna jeshi la polisi tuna makanjanja
 
Yes! Yes., hilo ni swali la msingi., na detective yeyote atakae pewa case hii lazima atatafuta kujua rationale ya ku record mikakati ya kufanya uhalifu tena wakiwa wanafahamu kabisa (ofcourse kama anamaanisha kazi) lakini lazima iko siri flani hapo., kama wewe ni layer ukifika hapo unaandika issue no.1!., nahapa panahitaji cross examination of witnesses!

Kupata mashaihidi kwenye video hi sio tabu mkuu,nafikiri sehemu yalipofanyika haya mazungumzo wahusika wanapajua,kwenye Video kuna jamaa anaitwa Rich amabae anasalimia na alierikodi hi ivideo,kuna dada ambae aliingia na kusalimia na wahusika

kesi iko wazi,ushauri wangu cdm wasimkingie kifua huyu jamaa yao,wamuache azame na jahazi,kwani kwenye kondoo weupe na weusi hujiingiza
 
unafikiri jeshi la polisi ni wajinga? wanayo madudu mengi ya rwakatare na walikuwa wanasubiri tu pa kumkamata ili wamweke uchi. ataelezwa kila alichofanya na ushahidi utatolewa. polisi wakiamua kufanya kazi hakika hatapona kwani ana madhaifu mengi

Mkuu inaonekana wewe ndo stearling wa hiyo clip vipi? au wewe ndo polisi ? au ndo mwigulu? Nimefuatilia post zako zote unajifanya unajua kila kitu, cha kushangaza post zako jinsi zilivyo zinamwezesha msomaji kutambua pasipo shaka kiwango chako cha elimu.

Je wewe ni miongoni mwa misukule inayofugwa lumumba?
Je wanakulipa shilling ngapi kwa kila post ?

Tulia bwana mdogo, usifikiri kila member humu JF anamawazo mgando kama yako. Tatizo misukule njaa zenu zimehamia vichwani. Nani aliyekuambia ukimbie shule? ona sasa unavyo adhirika hapa mjini kwa kutumiwa kama toilet paper.
 
Kupata mashaihidi kwenye video hi sio tabu mkuu,nafikiri sehemu yalipofanyika haya mazungumzo wahusika wanapajua,kwenye Video kuna jamaa anaitwa Rich amabae anasalimia na alierikodi hi ivideo,kuna dada ambae aliingia na kusalimia na wahusika

kesi iko wazi,ushauri wangu cdm wasimkingie kifua huyu jamaa yao,wamuache azame na jahazi,kwani kwenye kondoo weupe na weusi hujiingiza

Oh Yes! i concur to your preposition., ikifikia mahali ikathibitika beyond reasonable doubt kwamba alihusika na uhalifu huo., CHADEMA haita mkingia kifua.! lakini haya lazima ya thibitishwe na mahakama ijiridhishe na ushahidi utakao tolewa.
 
Back
Top Bottom