silver25
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 743
- 44
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kutoa elimu kwa wapigakura kwa njia ya kutoboa siri zote za ufisadi zinazoigusa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia wiki ijayo.
Chadema Jana waliendelea na Msimamo wao wa kuto kumtambua Ndugu Jakaya Mrisho kikwete kwa kutoka nje ya ukumbi wakat yeye anataka kuhutubia Bunge,,
Wabunge wote wa Cadema walikwenda nje huku wasaliti wa uchumi wa Tanzania wakipiga meza huku wakiwa hawajui wanashangilia nini,,
Mimi naona tuwaunge mkono tu ili movement hizi zifanikiwe jamani wametuonesha njia,, Kuhusu Katiba mambo yatakuwa Sawa kwasababu hadi wasomi chuo kikuu wameanza kuona kunauhitaji wa kubadili Katiba,,