Dk slaa na Chadema watoke shimoni, vyenginevyo tutaamini yanasemwa na waislam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk slaa na Chadema watoke shimoni, vyenginevyo tutaamini yanasemwa na waislam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by muhogomchungu, Feb 23, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi huwa nasikiliza sana redio za dini mbalimbali hasa linapokuja swala la kitaifa. kwa bahati mbaya husikia sana chadema ikitajwa kwenye redio za kiislam, makongamano ya kiislam na kutajwa kama chama hatari kwa waislam, waislam wanaona angalau ssm inauheni kuliko chadema. waislam hurejea maneno hayo kila wanapopata nafasi kuwahutubia wafuasi wao, mwisho wanatahadharishwa vijana wa kiislam kujiunga na chama hicho.
  Lakini labda chadama kwa kuwa viongzozi sio waislam wanakuwa hawasikilzi redio hizo au makongamano hayo. lakini kama wanayapuuza basi athari kubwa inaweza kukimba chama hicho kwani mbegu inayopandwa na kupapaliwa katika nyoyo za watanzania. siamini kama chadema hahitaji kura za waislam. na kama hahizitaji basi chadema sio chama cha siasa. na kama inaona haitakuwa na athari basi chadema imedidimia kimawazo.
  Ukimya wa dk slaa na chadema kukanusha maneno yanayosemwa kwenye majukwaa ya waislam linaweza kuwafanya watz waliotoa kura 2010 wajitizame upya.
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Don't you think that it could amount to short sightedness for them to respond to petty religious extrimists?
   
 3. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya ni maneno yanayozungumzwa na masheikh wanaoaminika katika jamii ya kiislam. hii inarejewa kila dakika, sasa kama chadema itakaa kimya itegemee nini?
   
 4. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Muhogo huoni kuwa hayo mambo yanatakiwa kubainiwa na akili za Waislam wenyewe, maana mimi sihamini kama hizo fedha za Mafisadi zimenunua Waislam wote pia sidhani kama Waislam wote hawana uwezo wa kupambanua mambo kama wanavyoona hao jamaa, maana Dr kulumbana na Watu walinunuliwa na CCM siyo sahihi, ukichukulia kuwa hao viongozi wa Dini, nadhani mtu yeyote mwenye upeo mkubwa anaweza kuelewa hayo maneno maana kumekuwepo maandiko mengi sana ya Kiislam hadi misikini juu ya CCM inavyoonea Uislam hapo siku za nyuma na pia kumekupo malalamiko mengi sana ya Wanasiasa kulaumu Viongozi wa Dini Kuchanganya Dini na Siasa sasa kama leo wamefikia hatua wanalaumu upande mmoja na pia walikuwa wanafundisha kuwa CCM ni Katoliki leo wanataka kutufundisha vinginevyo uoni kuwa wanacheza na Akili zetu!

  Nadhani lengo la Mafisadi ndio hilo kuwa Dr alumbane na Viongozi wa Kiislam, mi sikubaliani na hilo, Dr haachane nao, watapiga kelele mwisho wa siku watachoka wenyewe maana wao wamejibebesha kuwa makampeni meneja wa Mafisadi, kwahiyo wanachafua Dini na pia wanajichafua wao mwisho siku kura hazipigwi kanisani wala msikitini; wanajenga preference ya Ushindi wa CDM bila waokujua wanadhani wanaibomoa kumbe wanaijenga
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Ni jukumu la sisi Waislam na wasio waislam kutafakari vyema yanayosemwa na viongozi wetu kabla ya kuamua kuyaunga mkono au kuyapinga. Viongozi wa dini sio miungu, na hata wao wanayo mapungufu mengi sana, ni vema kufikiria kabla ya kuamua, Uislam na Ukristo wetu usifunike yale mema tunayoyashuhudia, tusiwe wanafki. Usikae kimya kwa sababu aliyeongea utumbo ni kiongozi wa dini yako.
  Naomba kuwasilisha.....
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Masheikh na maimam ni watu wenye fikra duni! Ni wapuuzi
   
 7. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sio siri kampeni kuchochea udini zimekuwa kubwa sana misikitini na kwenye mihadhara ya dini ya kiislam.Mimi binafsi nimekuwa nishangaa kwanini serikali inaacha mihadhara ya hatari iendelee.Sijui usalama wa taifa na jeshi la polisi wanafanya nini kuhusu hili.Kinachonitisha sio kwamba wanazungumzia chadema peke yake bali na wakristo wote especially wakatoliki.

  Mimi nashangaa kwanini maaskofu wanaendelea kufumbia macho suala hili bila kuikemea serikali kwani mashehe wenye akili finyu kwa kushirikiana na magazeti ya kiislam kama al nuur wanazidi kumwaga sumu kila siku lakini wakristo wamekaa kimya.

  Unaweza ukasema acha waseme mwisho watachoka! lakini sivyo mnavyofikiri itakavyokuwa.Waumini wengi wa kiislamu wanaamini maneno wanayoambiwa na viongozi wao.Sasa chadema na maaskofu waendelee kupuuza uchochezi huo halafu watauona mwisho wake.

  Ndio maana hata sasa hivi watu wakiandamana kupinga serikali basi kundi la waislam litajitokeza kupinga maandamano hayo.Sababu itakuwa wakristo hawataki kiongozi muislamu.

  Naona kuna kila dalili machafuko ya kidini yanakuja kwani uelewa finyu wa baadhi ya wenzetu unapelekea kupokea sumu kama ilivyo na kuimeza bila kufikiri.
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kama walivyo Mapadri na Maaskofu nadhani unajua kazi zenu zinafanana,
  Rev Mary Glasspool huyu ni mchugaji mwanamke msagaji du! wewe najua 'mchicha mwiba'
   
 9. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  BADILIKENI Jamani, sio kila mmoja wenu anaweza kuchangia hizi thread za kidini bila kutukana au kukashifu mara masheikh na maimam wapuzi,Malofa mara madrasa utaona mara upupu changia hoja kwa mujibu wa taratibu za Great thinker Arafat punguza jazba na KIHEREHERE Nimeshakusoma sana mara zote huwa postive upande mmoja juzi umeanzisha topic ya kubakwa kwa reporte wa CBS UKABAKI HUNA HOJA YA KUJIBU KUMBUKA HILI NI FORUM 'JUKWAA'SI SEHEMU YA WAHUNI
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kwa akili yako ilivyokuwa na ukungu unataka kutuambia Chadema hakuna Waislam? ni chama cha Wakirstu peke! na Wabunge wa Chadema Waislam pamoja na viongozi utawaweka sehemu gani? punguza mipasho
   
 11. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tangu propaganda za udini zilipoanza kuwa Dr. Slaa ametumwa na kanisa kugombea urais mpaka leo baadhi ya hawa ndugu zetu bado wanaamini kuwa CDM ni kwa ajili ya wakristo, yaani wanashindwa kupambanua kuwa ni CCM ndiyo waliyoeneza uzushi huo kwa nia ya kupata kura za waislam. kwa kuwa dini ni suala sensitive basi uzushi huo umeganda kwa watu na unazidi kuenea. Chadema haina haja ya kurudia kujieleza maana walishasema sana,labda urejee tamko la CDM wakati wa maombolezo ya waliouawa ktk maanadamano.
  Kama hao masheikh wanaamini vivyo basi hata hamna haja ya kuwaelewesha maana uelewa wao unamushkeli vivyo hivyo wanaowaamini..
   
 12. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Maendeleo ya nchi hii hayategemei uislamu. by da way huu c wakati wa kusapoti udin wa kiwete.
   
 13. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Omba msamaha tafadhali. Hayo maneno yako ni matusi. Nawasilisha.
   
 14. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani wana jamiii naomba watu waongelee mada iliopo hapo juu, mtoa mada amesema yeye anasikia kutoka kwenye redio za kiisilamu na magazeti ya kiisilamu sasa ya nini kutukanana kama si kweli Padri Dr Slaa ajitokeze na chama chake wapinge hizo kauli zinazotolewa na waisilamu maana kweli tunayasikia mengi na yana sehemu ya ukweli ndani yake. naomba mufuatilie tamko la waisilamu pale Diamond j.mie nimepitia video yote ila ni ndefu sana haiwezi kuingia humu.
   
 15. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mi nadhani watanzania wana-akili ya kupambanua habari zilizoenda shule na habari zisizo na msingi,kwani kama waislam wangewasikiliza naamini Chadema wasingepata ubunge Ubungo wala Kawe,kwani kama sikosei Dar idadi ya waislam ni kubwa sana.
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  HAMNA SHIDA waislam waendelee kuaminishwa hivyohivyo, ni ujanja wa mafisadi na katu Dr ASILUMBANE NA mashehe.
  Mwisho wa siku kila mtu apigie kura mtu wa dini yake tuone wanani watashinda chaguzi.

  Dawa ya mdini ni kumletea udini zaidi,kuna watu wanadhan sisi hatuzipendi dini zetu kwa kuwa neutral.
   
 17. peck

  peck JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 220
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  waislamu waliopo chadema wanatosha hao watakao wasikiliza mashehe wao, wakafie mbali na fikra zao mbovu za udini.
   
 18. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Siku izi kuna redio zinaitwa za kiislamu!kazi ipo. Alaf unasema cdm isipoukubali uislam si chama cha siasa,kwan uislam ndo siasa?aya bwn!
   
 19. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Punguza jazba kiongozi wangu wa kiroho i.e Rev Fr Masanilo
   
 20. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Punguza jazba kiongozi
   
Loading...