Elections 2010 Dk. Slaa: Mtaalamu wa lugha saba anayepania mabadiliko ya kweli

kwa hiyo unataka kuniambia kipimo cha ujuaji mambo ni mtu kuongea lugha nyingi... ! kwa nini asigombee ukalimani ...:becky: kura yangu anayo, lakini sio URAIS!

Ndiyo, kujua lugha ni kujua na kuibua mambo mengi.
_______________________________________________________________
“The limits of my language mean the limits of my world” -
Ludwig Wittgenstein
 
Lakini je Slaa kama alivunja ahadi za Upadre kwa MUNGU je atatunza ahadi atakazoweka kwa wananchi bila kubadilika? KA KIJISAWLI TU. Je credibility na integrity tuipimeje? nipeni shule magwiji wa siasa.

Dr. Slaa hakuvunja ahadi za Upadre. Zipo sheria (Canon Laws) amabzo yeye amesomea na ana PhD yake, zinazoruhusu Padre kuacha upadre. Vatican walimruhusu na akapewa baraka zote za kuwa mlei, yaani mwuumini wa kawaida. Si vyema kupotosha.

Nikimpa kura yangu ni haki yake, nikimnyima, ni kumwonea............CCM ni nzuri, japo si wote waliomo... kadhalika CHADEMA ni bomba, hasa Dr. Slaa.
 
Majukumu ya uraisi ni mengi ni zaidi ya kujua lugha 7,lakini kila kitu kina mwanzo,kazi nzuri aliyoifanya akiwa mbunge n.k.Ila serikali ni zaidi ya kuwa na raisi mwadilifu,bado kutakuwa na baraza la mawaziri.Isitoshe kuna bunge kujadili na kupitisha miswaada,haitakuwa kazi rahisi ukichukulia CCM itakuwa na idadi kubwa ya wabunge, kazi ngumu kweli kweli.Bado atakuwa anawajibika kwa chama chake CHADEMA.Wananchi watakuwa na matarajio mengi na itakuwa ngumu kuyatimiza kwa muda mfupi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom