kwa kusema hivyo unahalalisha madudu yote aliyoyafanya kikwete alipoingia madarakani kwani CCM nao walimtumia kikwete. napi unaniogopesha siku chadema watanzania wakijisahau na kukiachia kupata nafasi ya urais , DK SLAA si atavunja rekodi ya kulipwa ukilinganisha na marais wote duniani. na ukisema hivyo basi na MTEI ambaye ni muasis mumlipe kwa kigezo cha kuwa yeye ni muanzishaji wa chama.
Kama angeweza ku paisha uchumi wa nchi hakuna ambaye angelalamika hapa si semi kwa hisia naongea objectively! Haya malalamiko ni kuwa CCM investment return yake imekuwa less by 20% if votes are to be the out put. Na hii bado imetolewa na biased body ingekuwa free and fair body pengine ni less than that. Kwahiyo ndiyo maana yake and whatever is consuming kama hakiisaidii taifa ni cost kwenye economy. Siongelei hisia naongea facts!
Kwa issue ya Mtei ndiyo hasa aliye invest lakini kwenye capita investment na kama CHADEMA ita mtupa basi ujue watakuwa hawamtendei haki kama hawaja rudisha what he invested in maana yeye ni innovator kama ilivyo baba wa taifa kwa CCM! Lakini anachohitaji yeye si cash bali survival ya chadema if that is his satisfaction basi hiyo mbona ni investment iliyo lipa maana CHADEMA ina paa na ina uwezekano wa kuchukua dola na kama hiyo ndiyo ilikuwa objective yake basi ata realise return yake very soon.