Dk slaa kuhutubia wananchi wa mkoa wa iringa kupitia redio country fm leo saa 3 usiku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk slaa kuhutubia wananchi wa mkoa wa iringa kupitia redio country fm leo saa 3 usiku

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by PayGod, Oct 28, 2010.

 1. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  DK SLAA KUHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA IRINGA KUPITIA REDIO COUNTRY FM LEO SAA 3 USIKU  [​IMG]

  Baada ya kushindwa kuwahutubia wananchi wa manispaa ya Iringa leo jioni ,mgombea urais kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema) Dk Willibrod Slaa leo saa 3 usiku huu atawahutubia moja kwa moja wananchi wa mkoa wa Iringa kupitia kituo cha Redio Country Fm (88.5 ) wananachi watapata nafasi ya kumsikiliza na kuuliza maswali yao kaa mkao wa kula
   
 2. W

  We can JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Good news PayGod,
   
 3. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  Sikai mbali na redio leo
   
 4. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  je kesho atahutubia hapo? Lazima iringa afunike dk ya mwisho mbega kwenda huko mabadiliko
   
 5. M

  Mutu JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  thats whatsup
   
 6. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Piga ua lazima slaa afanye mkutano iringa na apite maswa akieleke karatu, jah bless
   
 7. j

  jitu1 Senior Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Dec 28, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wasije wakakata umeme
   
 8. M

  MULANGIRA Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je nini kinaendelea huko Iringa?Dr. Slaa kesha anza kuzungumza?
   
 9. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  silaa kaanza mda mrefu wananchi wanauliza maswali mazuri mno
   
 10. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  silaa kasema kuwa amepata nyaraka zinazoonyesha kuwa mfuko wa sument kuuzalisha ni tsh 4000 na sio elfu saba kama huyo anayejiita mtaalamu wa cement alivyosema.pia anasema kuwa kuna wastaafu wengi sio wa EAT tu ambaao hawajalipwa kwa hiyo yote atayashughulikia akipata nchi
   
 11. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  tupeni raha nacc tulio mbali wakuu nn kinaendelea
   
 12. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ARUSHA LEO

  [​IMG]
   
 13. c

  chamajani JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anataka kutangaza msimamo wake wa kurudi CCM nini! Maana kazi aliyotumwa ya kuiua cuf keshaimaliza sawia
   
 14. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  silaha anasema kuwa atashirikiana na waganga wa kienjeji ambao sio washirikina kwa kuwa ndio wanaotoa huduma za matibabu vijijini, pia atawajengea uwezo na kushirikiana naye kufanya tafiti za dawa ili nchi iweze kunufaika
   
 15. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  wale ambao majina yao hayajapatikana kwenye daftari la wapiga kura waandikishe majina na kuyapeleka kwa viongozi ila wachukue hatua.tume lazima ieleze kwanini watu hawamo kwenye daftari?
   
 16. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  kilimo kwanza ni nini? hii kauli mbiu ilfanyiwa utafiti lini? anahoji slaa
   
 17. M

  MULANGIRA Member

  #17
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa taarifa nadhani watu wengi wanapata somo zuri.
   
 18. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  kwenye kilimo CHADEMA wanasema wataandaa fungu maalumu litakalotumika kuwalipa wakulima pindi bei itakaposhuka. slaa anasema ni aibu kwa tazania yenye rutuba na mabonde mazuri kununua mchele japani ambayo haina sifa hizo
   
 19. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  kwenye michezo anasema atageuza chuo cha bagamoyo kuwa chuo kikuu cha michezo aina yote ili Tanzania iweze kupata wataalamu huko na sio kuwaleta wataalamu kutoka nje.
   
 20. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  kuhusu malaria anasema tiba yake siyo net peke yake, anasema mtazamo wa CHADEMA ni kwaba malaria haipasi kuwepo.
   
Loading...