Dk Slaa kama alivyokuwa Maalim Seif ni mchochezi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk Slaa kama alivyokuwa Maalim Seif ni mchochezi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muhogomchungu, Jan 14, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niijuavyo gov ya ccm, neno mchochezi kwao ni simple kulitamka na kumkabidhi mtu ambae yupo kinyume na wao.
  kwa mfano maalim seif baada ya kutoka ccm alipata misuko suko na hatimae kuishia jela kwa kosa la Uchochezi. Licha ya watu wengi kuona ni mambo ya kisiasa tu na sio uchochezi kama ccm ilivyoamini lkn leo ni hii anakula KEKI YA TAIFA
  na sasa dk slaa ameongoza maandamo Arusha. lkn kwa kuwa dk slaa ni mtu shupavu na mwiba kwa utwala wa CCM tangu ajiunge na Chadema, na hivi majuzi tu ameongoza maandamano ya Arusha. jee dk slaa ni mchochezi kwa kuwandaa wananchi kuipinga gov halalli na kusababisha mauji?JEE Tutgemee msamiati wa ccm utamkumba dk slaa na kuwekwa ndani kwa kosa la Uchochezi?
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Crap eti gov halali, niliishakwambia ushabiki maandazi wako na post zako unazoamka nazo asubuhi zisizo na mashiko haufiki popote, halafu hapo kwenye bluu endelea kuota ndoto za abunuwasi
   
 3. n

  niweze JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haya Mtoto wa JK Kaingia Humu. Unasemaje Tena? Huna Hoja au? Unataka Kupata Thread Ukawaadisie Ndugu?
   
 4. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  hajui nguvu ya uma, wakitaka nch ilipuke wazubuthu kuwaweka wapambanaji ndani watajua nn maana ya nguvu ya uma,
   
 5. m

  mzambia JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hoja haina mashiko
   
 6. N

  Nonda JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Post yako ina ladha ya muhogo mchungu!
  kwa vile wewe ni mkulima unajua ladha ya muhogomchungu.
  Ushauri lima mihogo mitamu!
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Sioni hata maana ya hii post kwani kila kitu kiko wazi na kinajulikana
   
Loading...