Dk Slaa: CCM wasubiri majibu2015

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
[h=2]Tuesday, November 27, 2012[/h][h=3][/h]KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema CCM watazunguka nchi nzima lakini majibu yatajulikana 2015 kwani ndiyo utakuwa mwisho wao.

dr_slaa.jpg
Pia Dk Slaa amesema Chadema hakiyumbishwi na kuahimia CCM kwa waliokuwa madiwani wake mkoani Arusha, na badala yake kinapata nguvu ya kuweza kusimamia maadili ya viongozi wake.

Dk Slaa alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na gazeti hili kuhusu mambo mbalimbali ya kisiasa yanayoendelea nchini, ikiwa ni siku moja tangu uongozi wa juu wa CCM ukiongozwa na Katibu Mkuu wake, Abdulrahaman Kinana umalize ziara yake ya kwanza katika Mikoa ya Mtwara, Rukwa, Geita na Arusha.

Alisema Chadema siku zote kitabaki kuwa mwalimu na vyama vingine vitafuata kwa kuiga mambo ambayo chama hicho kimeyaanzisha.

“CCM kuzunguka huku na huko na ni kutuiga sisi kwani tumeanza muda mrefu, baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 tumekuwa tukizunguka na kuwaeleza wananchi mambo mbalimbali,” alisema Dk Slaa na kuongeza; “Wao (CCM) wazunguke tu lakini mambo yote yatajulikana 2015 kwani Watanzania wa sasa siyo wa kudanganywa tena.”

Dk Slaa alisema anashangaa kwa nini CCM wanazunguka huku wakilalamika wakati wao ndiyo wanaiongoza nchi hivyo majibu ya matatizo ya wananchi wanayo.“Chadema ni mwalimu na wao hufuata, waendelee na mzunguko wao lakini waache kulalamika kama sisi bali watoe majibu kwa kuwa wao ndiyo wanaongoza Serikali,”alisema Dk Slaa.

Akizungumzia baadhi ya madiwani wa chama hicho waliohamia CCM, Dk Slaa alisema kuwa hawakiyumbisha chama chao na kwamba hata kama wamehama wasipolipa Sh15 milioni kama amri ya mahakama ilivyotolewa watakwenda jela.

Juzi katika mkutano wa CCM Arusha, madiwani wa Chadema walitangaza kujiunga na CCM huku wakipinga hatua ya Dk Slaa, kuwa alikuwa akitaka kuwafunga baada ya kuwatimua ndani ya chama hicho.

Madiwani hao ambao walitimuliwa na Chadema kutokana kitendo chao cha kumtambua Meya wa Jiji la Arusha Gaudensi Lyimo wa CCM ni Rehema Mohamed, Simba Salum wa Kata ya Kati na Frank Joseph Takachi wa Kata ya Olasiti.

Jana Dk Slaa alisema kitendo hicho kinaonyesha jinsi gani kuna wanasiasa ambao ni matapeli hapa nchini kwani madiwani hao walikwenda mahakamani kutaka warudishiwe uanachama wao sasa wamekimbilia CCM.

“Watanzania sasa wanajua aina ya wanasiasa matapeli, kama walienda mahakamani kuomba uanachama wanahangaika nini,”alisema Dk Slaa na kuongeza; “Chama hakitayumba na tutaendelea kusimamia maadili ndani chama kama ilinavyotakiwa.”

Alisema baadhi ya madiwani wameshaanza kulipa fedha ambazo mahakama imesema, hivyo hao waliokimbilia CCM wasipolipa fedha hizo ndani ya miezi miwili watakwenda jela kama mahakama ilivyosema.

NCCR wanena

Katika hatua nyingine Chama cha NCCR-Mageuzi kimemtaka Makamu Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Philip Mangula kushughulikia rushwa ndani ya chama hicho kwa muda wa siku saba na siyo miezi sita kama alivyoahidi.

Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho, Faustin Sungura amesema vinginevyo chama hicho kitawahamasisha wananchi waikatae CCM katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Sungura alisema wahusika wa rushwa wanafahamika na ametoa siku hizo kutokana na kuona miezi sita ni mingi na watendaji wa vitendo hivyo wanafahamika katika chama na Serikali na kwamba kinachokosekana ni dhamira ya dhati ya kuchagua viongozi wenye mikono safi.

Chanzo Mwananchi

Posted by Abdul at 7:52 AM
 
Mtafanyaje CDM kura zikiibiwa maana ninavyoona wameshasema hwawezi kuwapa wapinzani nchi maana ni sawa na kumpa fisi butcher
 
Ndiyo maana wanasiasa matapeli wataungana na CCM dhidi ya Uongozi wa CHADEMA

-By the way comment ya Chama cha NCCR-Mageuzi imeharibu mtiririko wa hoja ya Dr.Slaa.Ina maana NCCR Mageuzi wanasumbuliwa na ufisadi ndani ya CCM badala ya Ufisadi serikalini?CCM kuwashughulikia magamba does it make them competent enough to govern come 2015?

What is the correlation between CCM kishughulikia ufisadi ndani ya chama within 7 days na movement ya kuwaondoa madarakani?
So CCM wakishughulikia ufisadi(Ofcourse hawawezi) movement na mission ya NCCR Mageuzi itakua imekamilika?
 
Benn, hata mimi nashindwa kuwaelewa NCCR nini motive yao ktk hili la ccm, NCCR leaves me in state of quandary and this is very sad.
 
Ndiyo maana wanasiasa matapeli wataungana na CCM dhidi ya Uongozi wa CHADEMA

-By the way comment ya Chama cha NCCR-Mageuzi imeharibu mtiririko wa hoja ya Dr.Slaa.Ina maana NCCR Mageuzi wanasumbuliwa na ufisadi ndani ya CCM badala ya Ufisadi serikalini?CCM kuwashughulikia magamba does it make them competent enough to govern come 2015?

What is the correlation between CCM kishughulikia ufisadi ndani ya chama within 7 days na movement ya kuwaondoa madarakani?
So CCM wakishughulikia ufisadi(Ofcourse hawawezi) movement na mission ya NCCR Mageuzi itakua imekamilika?
 
Ndiyo maana wanasiasa matapeli wataungana na CCM dhidi ya Uongozi wa CHADEMA

-By the way comment ya Chama cha NCCR-Mageuzi imeharibu mtiririko wa hoja ya Dr.Slaa.Ina maana NCCR Mageuzi wanasumbuliwa na ufisadi ndani ya CCM badala ya Ufisadi serikalini?CCM kuwashughulikia magamba does it make them competent enough to govern come 2015?

What is the correlation between CCM kishughulikia ufisadi ndani ya chama within 7 days na movement ya kuwaondoa madarakani?
So CCM wakishughulikia ufisadi(Ofcourse hawawezi) movement na mission ya NCCR Mageuzi itakua imekamilika?
 
Pamoja na tatizo la kushamiri ufisadi chini ya serikali ya ccm, kuna tatizo jingine la viongozi wa baadhi ya vyama ya siasa kwa kuendekeza hongo kutoka ccm ili kupoteza directions za watanzania kwa kuingiza hoja zisizo na mashiko huku wakiwa wamekatiwa kitu na ccm.hii ni hatari kwa mustakhabari wa nchi inayojaribu kujenga nidhamu ya kazi.
 
Maskini Domokaya nakuonea huruma mie. Yaani madiwani wako wanavyopukutika! Eti unajifariji kuwa ni changamoto ya chma, wapi!!. Umefulia Dr. wenzio wanakuachia lichama lako la kidini ukukuluke nalo. Mbowe anasepa muda si mrefu na watu hawataamini.
 
Tuesday, November 27, 2012

KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema CCM watazunguka nchi nzima lakini majibu yatajulikana 2015 kwani ndiyo utakuwa mwisho wao.

dr_slaa.jpg
Pia Dk Slaa amesema Chadema hakiyumbishwi na kuahimia CCM kwa waliokuwa madiwani wake mkoani Arusha, na badala yake kinapata nguvu ya kuweza kusimamia maadili ya viongozi wake.

Dk Slaa alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na gazeti hili kuhusu mambo mbalimbali ya kisiasa yanayoendelea nchini, ikiwa ni siku moja tangu uongozi wa juu wa CCM ukiongozwa na Katibu Mkuu wake, Abdulrahaman Kinana umalize ziara yake ya kwanza katika Mikoa ya Mtwara, Rukwa, Geita na Arusha.

Alisema Chadema siku zote kitabaki kuwa mwalimu na vyama vingine vitafuata kwa kuiga mambo ambayo chama hicho kimeyaanzisha.

"CCM kuzunguka huku na huko na ni kutuiga sisi kwani tumeanza muda mrefu, baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 tumekuwa tukizunguka na kuwaeleza wananchi mambo mbalimbali," alisema Dk Slaa na kuongeza; "Wao (CCM) wazunguke tu lakini mambo yote yatajulikana 2015 kwani Watanzania wa sasa siyo wa kudanganywa tena."

Dk Slaa alisema anashangaa kwa nini CCM wanazunguka huku wakilalamika wakati wao ndiyo wanaiongoza nchi hivyo majibu ya matatizo ya wananchi wanayo."Chadema ni mwalimu na wao hufuata, waendelee na mzunguko wao lakini waache kulalamika kama sisi bali watoe majibu kwa kuwa wao ndiyo wanaongoza Serikali,"alisema Dk Slaa.

Akizungumzia baadhi ya madiwani wa chama hicho waliohamia CCM, Dk Slaa alisema kuwa hawakiyumbisha chama chao na kwamba hata kama wamehama wasipolipa Sh15 milioni kama amri ya mahakama ilivyotolewa watakwenda jela.

Juzi katika mkutano wa CCM Arusha, madiwani wa Chadema walitangaza kujiunga na CCM huku wakipinga hatua ya Dk Slaa, kuwa alikuwa akitaka kuwafunga baada ya kuwatimua ndani ya chama hicho.

Madiwani hao ambao walitimuliwa na Chadema kutokana kitendo chao cha kumtambua Meya wa Jiji la Arusha Gaudensi Lyimo wa CCM ni Rehema Mohamed, Simba Salum wa Kata ya Kati na Frank Joseph Takachi wa Kata ya Olasiti.

Jana Dk Slaa alisema kitendo hicho kinaonyesha jinsi gani kuna wanasiasa ambao ni matapeli hapa nchini kwani madiwani hao walikwenda mahakamani kutaka warudishiwe uanachama wao sasa wamekimbilia CCM.

"Watanzania sasa wanajua aina ya wanasiasa matapeli, kama walienda mahakamani kuomba uanachama wanahangaika nini,"alisema Dk Slaa na kuongeza; "Chama hakitayumba na tutaendelea kusimamia maadili ndani chama kama ilinavyotakiwa."

Alisema baadhi ya madiwani wameshaanza kulipa fedha ambazo mahakama imesema, hivyo hao waliokimbilia CCM wasipolipa fedha hizo ndani ya miezi miwili watakwenda jela kama mahakama ilivyosema.

NCCR wanena

Katika hatua nyingine Chama cha NCCR-Mageuzi kimemtaka Makamu Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Philip Mangula kushughulikia rushwa ndani ya chama hicho kwa muda wa siku saba na siyo miezi sita kama alivyoahidi.

Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho, Faustin Sungura amesema vinginevyo chama hicho kitawahamasisha wananchi waikatae CCM katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Sungura alisema wahusika wa rushwa wanafahamika na ametoa siku hizo kutokana na kuona miezi sita ni mingi na watendaji wa vitendo hivyo wanafahamika katika chama na Serikali na kwamba kinachokosekana ni dhamira ya dhati ya kuchagua viongozi wenye mikono safi.

Chanzo Mwananchi

Posted by Abdul at 7:52 AM

Huyu mzee hayo si ndo maneno yake siku zote, hata 2008 hadi 2009 alikuwa akisema hivyo hivyo kuwa mwisho wa CCM ni 2010. Anatapa tapa tu.
 
Maskini Domokaya nakuonea huruma mie. Yaani madiwani wako wanavyopukutika! Eti unajifariji kuwa ni changamoto ya chma, wapi!!. Umefulia Dr. wenzio wanakuachia lichama lako la kidini ukukuluke nalo. Mbowe anasepa muda si mrefu na watu hawataamini.
Hta ndoa na mke wake anajifariji hivyo hivyo kuwa ataifunga.
 
Pamoja na tatizo la kushamiri ufisadi chini ya serikali ya ccm, kuna tatizo jingine la viongozi wa baadhi ya vyama ya siasa kwa kuendekeza hongo kutoka ccm ili kupoteza directions za watanzania kwa kuingiza hoja zisizo na mashiko huku wakiwa wamekatiwa kitu na ccm.hii ni hatari kwa mustakhabari wa nchi inayojaribu kujenga nidhamu ya kazi.

Hivyo hivyo kwa kama ambavyo viongozi wa CCM na hasa Wabunge kuhongwa na Wapinzania ili kukizishia chama kashfa ambazo hazina ushahidi wowote. Wote hao wanafiki tu, si CDM si CCM.
 
Ndiyo maana wanasiasa matapeli wataungana na CCM dhidi ya Uongozi wa CHADEMA

-By the way comment ya Chama cha NCCR-Mageuzi imeharibu mtiririko wa hoja ya Dr.Slaa.Ina maana NCCR Mageuzi wanasumbuliwa na ufisadi ndani ya CCM badala ya Ufisadi serikalini?CCM kuwashughulikia magamba does it make them competent enough to govern come 2015?

What is the correlation between CCM kishughulikia ufisadi ndani ya chama within 7 days na movement ya kuwaondoa madarakani?
So CCM wakishughulikia ufisadi(Ofcourse hawawezi) movement na mission ya NCCR Mageuzi itakua imekamilika?

Hivi lengo la wapinzani ni kuiondoa CCM madarakani? then, what next? Watanzania tunaibiwa hivi hivi na siasa za ajabu kama hizi kweli? badala ya kupigania kuwaletea wananchi maendeleo unapigania kukiondoa chama madarakani, ina maana lengo ni madaraka?
 
ina maana wapinzani wanakusanya kodi? Ccm iondoke maana inakusanya kodi lakini matumizi yao ni ya kifisadi. Ccm must go!
 
Unawakera kweli CDM, maana hilo neno tu CCM Oyeeeeeeeeee, majasho hayo yanawatoka.
Una maajabu sana wewe! yaani hujui kama ni wajibu wa ccm kuwaletea maendeleo wananchi?kwani hukumsikia bosi wako nape anavyosema.Mmeacha wajibu wenu wa msingi na kuanza kukimbizana na cdm. You must be judged and charged in 2015
 
ukisoma kwa vipengele kulingana na upenz wa cmm. unaweza kufurahi kama fara frani iv! ila kama umesoma kwa maslai ya nchi yenye kutarijia uongoz mzur wa chadema uwez kucheka kama **** ***** weeee!
 
Maskini Domokaya nakuonea huruma mie. Yaani madiwani wako wanavyopukutika! Eti unajifariji kuwa ni changamoto ya chma, wapi!!. Umefulia Dr. wenzio wanakuachia lichama lako la kidini ukukuluke nalo. Mbowe anasepa muda si mrefu na watu hawataamini.

Nadhani hujui ulitendalo na siku hiyo ikifika utakiri kwa kinywa chako na kujutia maneno yako machafu humu jukwaani,siku zote shetani humuongoza mtu(kama wewe)kufanya mabaya ila ukizidisha kama hivi atakubwaga na kukukana siku moja.....
 
Hivi lengo la wapinzani ni kuiondoa CCM madarakani? then, what next? Watanzania tunaibiwa hivi hivi na siasa za ajabu kama hizi kweli? badala ya kupigania kuwaletea wananchi maendeleo unapigania kukiondoa chama madarakani, ina maana lengo ni madaraka?

Hivi mnalipwa bei gani na nepi pale lumumba kwa mapovu yote haya???mnahitaji kupepewa wallah.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom